Viongozi wetu wa kisiasa ni wanafiki

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Mwenzenu nashangaa kuona kila mwaka bdhaa ambazo serikali inazipiga vita(sigara na pombe) kuwa ni hatari kwa afya zetu ikijidai inatujali! kumbe wizi mtupu,..lakini bidhaa hzo hzo zinategemewa kwa kupangiwa kodi kubwa,..kama sio unafiki ni nini? je, itakuwaje kama wavutaji na wanywaji watabadili tabia? tungetegemea kuona wenye vipato na mitaji mikubwa ya biashara ndo walipe kodi kwa usahihi lakini ndio wanaotesa(tax holiday), mzigo wa kodi umebaki kwa wafanyakazi na walala hoi wenye vibiashara vidogo vidogo. Ndugu zangu wana JF mnasemaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom