Viongozi wetu na kushangaa mahekalu Oman

sultan-qaboos-palace.jpg

nyingine hiyo
 
Duuuuuuuuu!!!!!!! ama kweli ilikuwa aibuuuuuuuuuuuuuuuu, yaani hata cjui nisemeje, na walofanya editing je walishindwa kuondoa kipande hicho cha mkulu wa kaya na delegation yake wanavyoshangaa kabla ya kuirusha?
A%20S%20embarassed.gif

  • A%20S%20embarassed.gif
    A%20S%20embarassed.gif
 
Duuuuuuuuu!!!!!!! ama kweli ilikuwa aibuuuuuuuuuuuuuuuu, yaani hata cjui nisemeje, na walofanya editing je walishindwa kuondoa kipande hicho cha mkulu wa kaya na delegation yake wanavyoshangaa kabla ya kuirusha?
A%20S%20embarassed.gif

  • A%20S%20embarassed.gif
    A%20S%20embarassed.gif

Labda nawao walisahau kufanya editing kwani alikadhalika walikuwa nao wanashangaa!

 
Hata kama kashangaa, huyo bado ni kiongozi wako. Political hatred drives you roughly guys, slow down and think BIG.

Huyu jamaa anavyompigia jalamba mkweree ni lazima atakuwa mmoja wa maaskari aliowapandisha vyeo juzi!! Tulia askari, sisi tunasema afande wako alitutia aibu kwa kushangalia dali badala ya kuconcentrate kwenye mjadala uliokuwa unaendelea na mwenyeji wake; matokeo yake anaweza kuuza nchi kwakutia saini mikataba bila kuielewa!!
 
mkw.ere jee! Kwanza kakaa kwenye kiti kajikunja kama kambale halafu akaanza kuzungusha macho darini kama tochi, yani ameaibisha Taifa ile mbaya

Hahaaaaaa Jamani msimtusi hivi rais...kambaleee hhaaaaaa nakumbuka kwetu ifakara makambale ya lumemo
 
Upumbavu mtupu. Jaribuni kuheshimu viongozi wenu hata kama wanautendaji mbovu. Nyie ndio mnaweza hata kucheka makalio ya baba zenu yakiwa wazi. Shenzi kweli. Those are state figures no matter how inefficient they work!

Yaani JK ni wa kuchekwa tu kazidi ushamba
 
Lile kasri la mfalme wa oman juu dari yake na mapambo yake yote limenakshiwa kwa dhahabu tupu,ile ni petrodola,wamepamba mahekalu yao na maisha yapo bora kwa wananchi wake.
 
Wadau ninaangalia taarifa ya habari ITV, kilichonishangaza ni taarifa ya Raisi na viongozi wengine wako ziarani Oman,kilichonishangaza mimi ni jinsi viongozi wetu walivyokuwa busy kushangaa hekalu muda wote, sijui nini tafsiri yake ,!? kwa mlioona niambieni
kumbe watu weng 2liiona hii, cc 2likuwa 2naangalia taarifa ya saa mbili mahali flani, 2kawa 2namuona rais wetu anavyoshangaa anaangaliaangalia juu tu na watu wake. hata hawackilizi mazungumzo yan. banda zima watu walicheka
 
Back
Top Bottom