Viongozi wetu na kushangaa mahekalu Oman

Wadau ninaangalia taarifa ya habari ITV, kilichonishangaza ni taarifa ya Raisi na viongozi wengine wako ziarani Oman,kilichonishangaza mimi ni jinsi viongozi wetu walivyokuwa busy kushangaa hekalu muda wote, sijui nini tafsiri yake ,!? kwa mlioona niambieni

Hata mimi nimeona live, nikajikuta nacheka tu. Ila noma mbaya!
 
Jamani cjaona naomba pics nimemkuta tu mzee wangu hapa amechukia anazima tv anasema wamemuaibisha sana,wanashangaa midomo wazi amekasirika kweli
 
Du! Membe katishaje sio kushangaa kule,ndio mnategemea hata wanaposign mikataba muhimu kwa Taifa wawe makini,nimesikitika mno.
 
Mpiga picha amefanya makusudi kutuonyesha jinsi viongozi wetu wanavyo"behave" wakiwa nchi za nje! Nahisi misafara ijayo atatemwa rasmi.
 
Mtoa picha lengo lake ni kuwaonyesha jins wenzetu wenye viongoz wanavyoish?Sie tuangalie tunapambana vp na udin then mauaj yasiyo na hatia kwan nyinyiem wamekuja na stile mpya ya udin coz wao wameshachukua chao mm na ww je!!!?
 
8E9U9534xx.jpeg

Basi nikajua nimeshuhudia hiyo aibu peke yangu kumbe tupo wengi. kwa kweli wametuaibisha hawa viongozi wetu! kama jinsi mchangiaji wa mwanzo alivyoeza kuwa kutakuwa na uwalakini katika mikataba ambayo huenda wakasaini huko nnje ya nchi.
 
kweli nimeamini unaweza kumtoa ****** shamba lakini huwezi kutoa ushamba kichwani mwake, mchizi ameshangaa hadi noma, wote confidence meter ilikuwa inasoma less than positive. hivi kuna ishu gani wameenda fanya kama kuna mkataba wambieni warudi wasisaini watasaini madudu wajipange waende next time
 
View attachment 68248

Basi nikajua nimeshuhudia hiyo aibu peke yangu kumbe tupo wengi. kwa kweli wametuaibisha hawa viongozi wetu! kama jinsi mchangiaji wa mwanzo alivyoeza kuwa kutakuwa na uwalakini katika mikataba ambayo huenda wakasaini huko nnje ya nchi.

huyo mpambe wa jk hayo mabegi mbona yamemzidi, huyu mchizi bado anabebaga makabrasha hajui kutumia ipad? au kabeba ule ulinzi sheikh yahya alomuachia
 
Mimi nimecheka hadi machozi. Wako busy Presda na Membe wake kuangalia juu ya dari bila hata aibu. Ambae hajaona aamke mapema acheck ITV.
 
Membe ni mmachinga wa LONDO ,muacheni ashangae bado miaka mitatu atakuwa bench wanaume CDM tunachukua nchi.

Membe na Mjomba walikua wanashangaa Kasiri la ki-Oman ila ITV walikua wanai-replay sana ile part ya membe haaaaa wametishaaaaaaaaa!!
 
Du! Membe katishaje sio kushangaa kule,ndio mnategemea hata wanaposign mikataba muhimu kwa Taifa wawe makini,nimesikitika mno.

dah, nimechoka kabisa, tena kama yule mzee wa zenji aliyekuwa amekaa jirani na Kigoda ndo kabisaa, sidhani kama ameambulia chochote katika yale yaliyoongelewa pale
 
Hv kumbe kuangalia kitu kwa mshangao jinsi kilivyotengenezwa na nakshi zake ni ushamba!!!! Nikikwambia wewe MSHAMBA naamanisha nini.? Ni kweli kuwa ungeenda wewe usingeshangaa?
Sasa nyie mngeona video ya PM wa Zimbabwe alipokwenda Uingereza si ndiyo mngechoka zaidi. Watz bana vimaneno maneno tuuu..
Binafsi sioni aibu kushangaa kwasababu sivijui vitu vyote...unajifichaficha nini sasa si unafiki huo.
 
ihayo ni mambo ya kawaida tu kwani kila nchi na ufanisi wake na ufundi wake,kwa maana hiyo inawezekana na kushangaa au kuiba utaalamu:argue:usiwe mjinga na hata kujifunza hutaki:deadhorse:
 
Back
Top Bottom