Viongozi wetu na Kingereza

Jamani hivi ni kweli kabisa huyu mwenyekiti ndio kapeleka haya maandishi yake pia kwa mkuu wa wilaya na meya????....siamini katika hili labda hiyo ilikuwa initial draft tu.......kama hii ndio final draft kweli, jamani hakika kabisa haya makitu yanatokea only Tanzania duh!...
 
Hahaha!! Ila sasa ndiyo nimeelewa kwanini sensa imekuwa ngumu. Kumbe kuna watanzania countable na wengine not countable. Shehe Ponda is not countable.. . . . Lol

Sent from my NOKIA ya tochi.
 
hahaha!! Ila sasa ndiyo nimeelewa kwanini sensa imekuwa ngumu. Kumbe kuna watanzania countable na wengine not countable. Shehe ponda is not countable.. . . . Lol sent from my nokia ya tochi.


mbavu zangu!!!!!! Countable and not countable, duuuuu tanzania ni noumer!!!!!
 
teh teh teh teh kwi kwi kwi. Da hii ni kali ni kama subtitle kwe movie za kibongo kwenye African Magic Swahili
 
Japo hilo Tangazo linachekesha, kwa jinsi lilivyo andikwa, ila huo ni ushahidi tosha kuwa sisi kama Taifa hakuna tunachosimamia, kwa sababu si jambo la kushangaza hata tungemwambia muhusika huyohuyo kuandika tangazo la Kiswahili, bado angeandika kituko. Tumekua Taifa ambalo watu wake si mahiri kwenye lugha yeyote kati ya kiswahili ama kingereza, tupotupo tu kama mabundi, sera na mfumo wetu unatufanya tusiwe mahiri wa Kiswahili wala Kingereza, na tunapo elekea ni kubaya zaidi ya tulipo toka.
 
..Duh! Censer....Census...Wapi na Wapi?? Kwani aliona tabu gani Kupata ushauri kabla hajaichapisha?? Naona hao wazungu waliodhamiriwa walikufa kwa kicheko. Amekuwa na sawa na wale Sign Writer ambao ukiwapa kazi ni lazima uwaandikie unachotaka herufi kwa herufi la sivyo matokeo ni hivi vichekesho tunavyoviona kwenye mbao za matangazo mitaani
 
cen·ser/ˈsensər/
Noun:
A container in which incense is burned, typically during a religious ceremony
«««««««««««»»»»»»»»»»»»»»»»»»
cen·sus/ˈsensəs/
Noun:
An official count or survey of a population, typically recording various details of individuals
«««««««««««««»»»»»»»»»»»»»»»»
 
Ujumbe gani umefika?

"Also all people must answer this question from the Censer Officer..."

Which question?

Hebu wewe uliyeelewa nambie anamaanisha nini hapo, ujumbe ni nini hapo?

Ujumbe ni kwamba, msingi ukiwa mbovu, basi jengo halitakuwa imara. Huyu Mwenyekiti wa wasomi na matajiri wa Oysterbay. Walengwa ni wana CCM, nao wamemuelewa.
 
Back
Top Bottom