Viongozi wanaotumia sumu zenye sumu ya udini wanahatarisha taifa letu lulu.

opwa

Member
Jun 10, 2010
66
5
tangau kipindi nakua miaka ya 1980 sikuwahi kujiuliza hasa udini ni nini kwani niliamini dini ni njia tu ya kutukutanisha na mwenyezi mungu kama kweli yupo. lakini sasa nashangaa kuona kuwa viongozi tena top figures wanapojaribu moja kwa moja kuhusisha neno na matendo yanayo wagawa watanzania kwa mlengo wa dini zao, leo naona kabisa element za ubaguzi wa kidinn katika utendaji pia uwezeshaji katika sehemu mbali mbali hususani zenye mkono wa serikali, mwalimu wangu mmoja aliwahi kuniaminisha kuwa '' religion is nothing than opium of mind '' tena akaongeza kwa kuniambia '' religion kills reasoning and arose emossions '' sasa najiuliza hawa viongozi wanataka tutumie imani zinazotufanya mabubu kuchukiana wenyewe? au wanatakaje? elimu ye tanzania ya uraia inasema tanzania ni nchi isiyofungamaona na uzio wa dini yoyote, lakini katika hili viongozi wa sasa ni viziwi na vipofu, nikiuangalia mfimo wa uongozi napatwa na makanganyiko, nimedokezwa kuwa eti dodoma chuoni kuna mwananchi katishiwa hadi kutoweshwa uhai wake ikibidi kwa kuitwa adui kisa ni frateri wa kikatoriki....... roho inaniuma napoona hata zile sehemu nyeti ambazo vigezo nyeti vingetumika kutoa maamuzi basi dini flani ndo inawekeza vilaza wake pale. mataifa tunayo yapigia magoti kuomba misaada yakija jua ni vipi mnazifuja tena kwa kigezo cha udini mtapoeana huko magogoni, machaguo secondari na vyuo vikuu pia bodi ya mikopo nayatupia jicho la nne tu kwa kushauri kuwa mpeni anaye stahili anachostahili, tofauti na hapo tutarudisha taifa katika zile zama za ukabila na ukanda ikibidi uchama.....
 
Please re-write it, kwa sababu thread yako haieleweki.
 
Umeandika kama umemaliza kuimba kwaya muda si mrefu!
Thread yako haieleweki, na sidhani kama wewe ulikuwa unamuelewa mwalimu wako.
 
Huyu ni mwananchi mwenye uchungu na nchi yake, makosa madogo madogo ya kisarufi na kutokufuata misingi ya uandishi isiwe sababu ya kushusha thamani ya maoni yake, nimeiso vizuri hii thread yake inaeleweka kama unania ya kuelewa...
 
Ni kweli kabisa kwamba kuna watu wanaotumia mwanya wa tofauti za kidini
katika jamii yetu kwa masilahi binafsi, na pia kuna watendaji serikalini ambao
wamekengeuka na kufanya maamuzi ambayo yamelalia upande wa dini fulani.
Haijarishi wanapendelea dini gani, lakini maamuzi yoyote yaliyo katika misingi
hiyo hayakubariki katika taifa letu kikatiba na kitamaduni.

Lakini kama wenye akili na wenye uwezo wa kupambanua mambo, nadhani
kutaka kuwahukumu watu wanaofanya maamuzi katika misingi hiyo ni
kusumbuka na matokeo tunalazimika kurudi kwenye kiini cha matatizo.

Kiini ni kwamba, Dini ipi ama mafundisho yepi ni ya kweli, kama tunaweza
kutafuta ukweli huu kwa majidiliano ya kiutu uzima yasiyosukumwa na
misingi ya kiimani na mihemuko tunaweza kuliokoa taifa letu, kama hatuwezi
basi huko tunakokwenda hali itakuwa tete zaidi.

Uelewa wangu ni kwamba, Haiwezekani hata kidogo Mungu ambaye
anaabudiwa na waislamu akawa ndio Mungu yule yule anayeabudiwa
na Wakiristo, ama wabudha ama wahindu, ama wapagani. Haiwezekani
hata kidogo, na kama ni yeye Basi Huyu si Mwingine bali ni mungu muongo
na mnafiki wa kutupa.

Haiwezekani with all these differences bado tukakaa kizembe zembe na
kusema wote tunamuabudu mungu mmoja.

Our differences means we are being led by difference forces and authorities.
 
Back
Top Bottom