Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Hili ni jukwaa kuu JF.
Sasa kuna mada nyingine unatamani wahusika hasa wanasisa na decision makers wazione wazifirie labda watazifanyia kazi. Ingawa sio mada za kisiasa zinahitaji wanasiasa wafanya maamuzi. Ndio maana nimeleta bandiko hilo hapa.
Nukuu na kiunganisho hii hapa chini kina ujumbe na mafundisho mzito kwa Serikali na hasa kwa wizara ya mazingira na wizara ya
Teknolojia
Unashauri Nini kwa wanasiasa. ujaribu kuishi kwa vitendo.?

- Waziri wa mazingira kwa kuwa wizara yako ni ya mazigira nyesha japo mafno mdogo tu wa kuuza VX mbili wiarani kwako na badala yake nunua hizi hybrid mbili.
- Kama kununua gari hilo kutakuwa na sababu nzuri za kushindikanaunu gari kama hizo Kitu amabcho kwa wansiasa ni rahisi kukisema basi Waizri wa mazingira na wanasiasa onyesheni kuwa unasimamai mazigira kwa kutumia gari zaantoa carbon emmision ndogo hasa unapokuwa na safri za jijini.
- Waziri wa mazingira hata kama kutumia VX ni agizo la ikulu na standard kitu amabcho mpaka leo sijaelewa naamin ukimpa mapendekezo hayo Boss na rais wetu JK atayakubali kuwa wizara yako na maaafisa wachache watumie hybrid car kufanya pilot kuona ama inaweza kuwa na tija kupunguza matumizi.
- Kwamba viongozi na watendaji wetu hawan taarifa za ulimwengu wa teknolojia tulipo sasa?
- Ni ile style ya business as usual?
- Ni kutopenda mawazo, mbinu na njia mpya za kufanya mammbo.