Viongozi,wanachama na wapenzi wa chadema tuhakikishe tunafanya haya kama tunataka kushika dola 2015

Mengine ni haya ;
6. cdm iache udini na ukabila kwenye chama
7. uongozi uwe ni wa wote sio watu wakutoka kaskazini tu,
8. mikutano ya cdm isiwe na jazba ambazo husababisha mauaji
9. maamuzi ya vikao yawe ya busara kuliko jazba ambapo itatu cost kwenye chama km yaliyotokea mwanza
10. waache kupata ufadhili wa kada wa ccm mr thabodo,

Wakuu endeleeni ntarudi tena........

Hizi ni PROPOGANDA za CCM ambazo zimepitwa na wakati. Watanzania walio wengi wameishaanza kuzishtukia. Mwaka 2005 CUF kilikiwa chama cha UDINI na UKABILA na mikutano yake ilikuwa na JAZBA na kusababisha 'MAUAJI', lakini leo hii CUF ndio MBIA MKUU wa CCM! Hii inaonesha CCM ilivyokuwa mvivu wa ubunifu - buni staili nyingine ya Propoganda.
 
Mengine ni haya ;
6. cdm iache udini na ukabila kwenye chama
7. uongozi uwe ni wa wote sio watu wakutoka kaskazini tu,
8. mikutano ya cdm isiwe na jazba ambazo husababisha mauaji
9. maamuzi ya vikao yawe ya busara kuliko jazba ambapo itatu cost kwenye chama km yaliyotokea mwanza
10. waache kupata ufadhili wa kada wa ccm mr thabodo,

Wakuu endeleeni ntarudi tena........

Tunajua ww ni GAMBA,Peleka unafiki wako CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom