Viongozi waliyompiga Babu kuhaibika

utemi

Senior Member
Mar 27, 2011
167
23
Mkuu wa wilaya ya Mbinga amekiri kwenda kupata kikombe cha babu na kumponyesha ugonjwa wa kisukari uliomsumbua kwa takriban miaka 20.

Source- TBC1 taarifa ya habari usiku huu
 
Clouds walikuwepo madaktari wanasema dawa ya babu kwa uchunguzi wa awali ilionyesha inatibu kisukari kansa......,
 
"Kuhaibika" ndio nini? Jamani, kama kuna maneno mapya ya kiswahili mtujuze.
 
Back
Top Bottom