Viongozi waliwahi kulia na sababu za kulia

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
1.mzengo. sababu,uchungu wa mauwaji ya alibino 2.kafulila.sababu wananchi wake 3.Jk ushindi wa kishindwo chimwaga 2005
 
taja wengine kisha nitawapa tafsiri ya vilio hivyo na hatima ya tanzania miaka 50 ijao
 
kafulila alilia kwasababu alliona anataka kukosa ubunge akose marupurupo ya bungeni...laki mbili kila ukikalisha makalio kwenye kiti cha bunge si mchezo....
 
Nyerere akimlilia Sokoine alipofariki na pia alipoliakwa ajili ya R.M.Kawawa kwa kubebeshwa mzigo wa lawama zitokanazo na utendaji wa serikali yake(Nyerere)
 
Mkapa kidume kwenye msiba wa Nyerere wala dkt Omar hakuonesha hizo tabia za kike!
 
Mkapa kidume kwenye msiba wa Nyerere wala dkt Omar hakuonesha hizo tabia za kike!

na kwl mkapa ni noma,ila tutamkumbuka sana,nataman wampe nchi mwaka mmoja tu ainyooshe tena,jk n janga la ktaifa jaman
 
Kikwete alilia uwanja wa Taifa hadharani siku ya kuaga mwili wa mwalimu Nyerere.
 
Mkapa kidume kwenye msiba wa Nyerere wala dkt Omar hakuonesha hizo tabia za kike!

JF vigeugeu kama wanasiasa? Mlimtukana sana mkapa kwa majina yote alivyotoka madarakani. Mbona hamjaomba radhi kama kweli ni kidume?
 
Pinda alikuwa analilia uwaziri mkuu,kama ni uchungu wa albino angelilia kule kule shinyanga aliposhuhudia hayo mauaji,lakini alipoambiwa amevunja katiba kwa kusema wanaoua albino wauwawe na kubanwa kuwa hawajibishwe ndiyo akalia,hana jipya,kilio kilikuwa cha kuona anatemeshwa kutembezwa na ving'ora hasa ikizingatia ndiyo kwanza alikuwa ameingia.
 
Back
Top Bottom