viongozi wakuu wa serikari kuwa na wenza.

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Je inawezeka kiongozi mkuu kama waziri mkuu kupewa nafasi hiyo iwapo hana mke?
Namna gani Spika wa bunge, sijawahi kusikia mume wa Spika wa bunge.
 
Kwa nini unafikiri isiwezekane? Kuna kipengere cha katiba kinachokataza?

Vipi una mpango wa kumtokea Spika?
 
Kwa nini unafikiri isiwezekane? Kuna kipengere cha katiba kinachokataza?

Vipi una mpango wa kumtokea Spika?
Hahahahaha, na mimi nilitaka kuuliza hivo hivo
Vingine sioni maana ya kufatilia maisha yake...
 
Unampendekeza nani awe waziri mkuu na unadhani anaishi bila mwenza?
Mbona Lipumba hana Mke na aligombea urais?
Mi nadhani si kigezo
 
Rudi kwenye katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania uone kama masharti ya kupata nafasi hizo za uongozi yanataka mtu kuwa na mwenzi wa ndoa.
 
Acheni hizo. Hata maandiko matakatifu hayalazimishi wala kuzuia kuwa na mwenza.

In fact unaweza ukawa na maamuzi mazuri zaidi ukiwa huna mwenza, zipo tafiti.
 
Japo haitajwi kikatiba hivi nikweli kuwa na viongozi wakubwa kama speaker bila mwenza?
 
Back
Top Bottom