Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,719
Mbona majina ya Jakaya Kikwete, Salma Kikwete, Benjamin Mkapa na Anna Mkapa hayamo?
Taarifa ya habari tbc1, yadaiwa wako 80 ni mawaziri, makatibu, wabunge nk. Yadaiwa walidanganya mali zao. Majina kumi ya mwanzo yametajwa kwa mtiririko huu;
1. Anna Tibaijuka
2. Omary Nundu
3. Mathayo Davd Mathayo
4. Vuai Nahodha
5. Lazaro Nyarandu
6. Jaji Werema
7. Katibu mkuu kiongozi (huyu mpya)
8. Mr. Jundu
9.
10.
Samahani hao wawili sikuwakariri.
Wamchunguze na Riz amekua tajiri sana kwa kipindi kifupi.
siasa at work..
Mbona Lowasa haguswi?au hiyo kamati nayo ni yake?