Viongozi wa zanzibar ni wanafki

Maroun MU

Member
Jul 21, 2012
97
4
Baada ya kuona wananchi wengi wanadai Nchi yao na wao wanajifanya wapo upande wa wananchi wa kudai Nchi yao hali ya kuwa wao mwanzo ndio walipokuwa wanapinga harakati za kuidai Zanzibar huru lkn nw wanajifanya wapo pamoja na wananchi,Wazanzibar tuwe peke yetu tusiwashirikishe viongozi hao hawana nia nzur na Wazanzibar,JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA
 
Aloo weye wazungunza kitu gani ,naona mistari ina jazba ,tulia andika kitu kilicho wazi ,kila mtu afahamu hata wale akina yahe ,wapate cha kuandika.
 
Back
Top Bottom