Viongozi wa UVCCM watembelea waathirika wa mabomu

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Hivi ni kwa nini Watanzania tunapohojiwa juu ya jambo zito tuna tabia ya kuchekacheka? Pia kwenye hii video clip utaona in the background kuna jambo linaendelea la kuwatambua watoto lakini hawa viongozi wa UVCCM ndio wanaonekana ni bora zaidi kwenye interview yenyewe. Kama wamekuja kuzuga vile waonekane na wao walikwepo. They dont even know what they are supposed to do there.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom