Viongozi wa UVCCM Arusha watwangwana makonde leo

Hata mlie na kusaga meno Lowassa ndiye chaguo la umma 2015 urais

wewe ndo nani kwenye huo umma hadi uwasemee chaguo lao,wewe kama utamchagua huyo fisadi wewe huko mwenyewe,usiusemee umma na huyo mlisha watu sumu wako.Period!
 
Haiingii akilini....please tuletee source ya hii taarifa bana!

"wamenunuliwa kumfanyia kammpeni Lowassa katika harakati za kuwania Urais 2015"

Kwani huyu ameshatangaza kugombea au?

Kama hajatangaza kugombea anafanya nini makanisani na kwenye Maulid?
 
Huyu jamaa Mrisho Gambo namfahamu vizuri sana ni moja kati ya vijana anayefanya mambo kwa umakini mkubwa mno.Kinacho endelea hapo ni siasa za makundi na waganga njaa wamejaa mno uv ccm.Nawasiwasi na upeo wa huyo mwenyekiti wa uv ccm karatu.
 
Waambie wakutane hata hapo Cine Club wazichape kavu kavu

Umeonaee wairaqw hawacheki na kima, wanadunda fasta fasta, diiiihhh..!!! puuuhh...!!! Kooohh...!!! Utaelewa tu... Paaaaaahhh...!!! Uwiiiiiiii nakufaaa.....!!! takheerr....!!!!
 
Hata mlie na kusaga meno Lowassa ndiye chaguo la umma 2015 urais

Atakuwa rais wa m..m.. Yako. Kama mtu yuko tayari kuvua nguo,kupost utumbo ili amtetee mtu. Je nikikukuta ndani ya mji wako,maadam nina pesa....,si utaniruhusu nimeng'enyue tunda la wife wako?wewe ni yuda iskariot
 
Back
Top Bottom