Viongozi wa TZ wnapenda Kukana palipo na Ukweli

bkamau

New Member
Mar 11, 2011
2
0
Kwa nini viongozi wengi wa TZ wanapenda kukanusha na kubisha juu mambo mbali mbali. Hata kama jambo lipo wazi, utashangaa wanakana
 
BKamau, hapa untaka tujadiri nini?, wewe tueleze kama kuna kiongozi wetu alikufuma uki-infi na mkewe kisha akakanusha kuwa si mkewe(kwa kukuogopa maana nyie akina kamau manjanika njenje)
 
Picture please!!!!!longolongo kwenye jukwaa lake na hapa ni maphoto tu.
 
Kwa nini viongozi wengi wa TZ wanapenda kukanusha na kubisha juu mambo mbali mbali. Hata kama jambo lipo wazi, utashangaa wanakana

Mbona kama umedandia treni ya umeme kwa mbele picha ziko wapi?
 
Kwa nini viongozi wengi wa TZ wanapenda kukanusha na kubisha juu mambo mbali mbali. Hata kama jambo lipo wazi, utashangaa wanakana

mbona hii hoja inaelea tu hewani..
inabidi JF kuwe kuna umri wa kujiunga na hata kupima upstairs kama kupo vyema
 
Kwa nini viongozi wengi wa TZ wanapenda kukanusha na kubisha juu mambo mbali mbali. Hata kama jambo lipo wazi, utashangaa wanakana

as prince harry said .....kiswahili ni lugha ya porojo
 
Back
Top Bottom