Nashindwa kuelewa, Hivi Viongozi tena WATANZANIA HALISI, Hivi wakati wanaibia Nchi huwa wanafikiria nini?
1. Wanapoamua misitu, miti yote kuuza na kukata ovyo kwa ajili ya matumizi yao na familia zao tu.
2. Wanapoamua kujiagawia Vitalu vya kuwindia, kuanzia mke/mme wake, watoto zao, marafiki, wajomba,... kweli mmh.
3. Wanavyo peana misamaha ya Kodi kubwa na kubwa.
4. Wanavyopeana kazi na kazi.
5. Wanavyo saini Mikataba ya Ovyo.
6. Wanavyotafuna pesa kama kesho wana kufa
HIVI KWELI HUWA WANA UCHUNGU au HUWA WANAKUWA WAMECHANGANYIKIWA au WAMEROGWA?