Viongozi wa Kiislamu wajitoa suala la madaktari

Hawa Waislamu ni DUMILAKUWILI. Acha watoke tuu. Wameshahongwa lakini wanasahao kuwa ni kwa wote hata kwa watoto wao. Kesho ikitokea kwa moja ya waislamu Dktari na sisi wakristo pia wakijitoa itakuaje? NDIO MAANA SKULI IMETUPIGA CHENGA
 
Hivi Said Mwaipopo na Msopa washakuwa viongozi wa kiislam?hawo jamaa nawajua km pesa ni matapeli wakubwa!Kwanza hakuna taasisi ya kiislam inayoitwa Bahakita!ilo ni jina wamejitungia tu kwa kuwaibia waislam.watu km hawa ndio wanautukanisha uislam.Huyo Said Mwaipopo ashawahi kwenda congo akaritadi akatembezwa congo na maaskofu wakitangaza Shehe kutoka Tanzania kauona ukweli kaingia ktk ukiristo leo eti kawa Kiongozi wa waislam!!!!????

Ahsante kwa taarifa, kwa ufupi ni kuwa allah ameshawaelezea kuwa wanafiki watapata moto mkali zaidi ya makafiri, nawaomba wajirekebishe kabla siku ya hukumu haijawafika.
 
Back
Top Bottom