Viongozi wa kiislaam Dar, walaani kuuawa kwa Gaddafi

Yesu ni mwislam? hayo maneno ungeyasema saudi arabia kichwa chako ni halali yao, muulize yule mcheza mpira aliyemchora Yesu kwenye mkono wake au mtu yeyote aliejaribu kuingia saudi arabia na bilblia kwenye begi lake, huko ni rahisi kuingia na cocaine au bangi lakini siyo bilblia mkuu, sasa kama huyu Yesu ni mwislam kwa nini hakuna ruksa nchi za kiislam kutaja jina lake wala kusoma biblia au kujenga kanisa au kuvaa alama ya msalaba?

Ilikuwaje kule Turkey TV ya kikiristo ikavamiwa na watangazaji kuuwawa? au pakistan vipi wale wanaomwamini huyu Yesu mwislamu wanauawawa hata waziri wa serkali aliyetoa hoja za kuwatetea pia akauawa na sasa umma wa kiislam unataka muuaji aachiwe huru ? Vipi kule iran yule mchungaji anaetakiwa kuuwawa kwa kuwa mkristo.

Bila kusahau misri ambapo mauaji ya wakiristo yanafanywa waziwazi na waislam, umewahi kuona nigeria jinsi waislam wanavyo chinja wafuasi wa huyu Yesu mwislam au Somalia ambapo alshaabab wana landa landa kila mahali kumbaini mfuasi yeyote wa Yesu mwislam ili achinjwe kwa ncha ya upanga?

Yapo mengi tu yanayoonyesha kuwa Yesu ni adui namba moja wa uislam na kamwe yeye mwenyewe hawezi kuwa mwislam
Mkuu uislam ni hadaa tangu mwanzo wake hadi mwisho wake, jaribu kuangalia mwenendo mzima wa dunia hivi sasa, shetani anaua bali Mungu anaokoa, utapata jibu. Hujachelewa bado jipe moyo Yesu yu hai na anakuita, ukifungua mlango wa moyo wako yeye ataingia na atakula pamoja nawe.

Mkuu yesu mwenyewe hajui huo msalaba ni nini?

Yesu ni Muislamu ni Mtume wetu ni Imam, Sheikh..

Yesu hawajui wakristo wala ukristo hizo ni innovations zenu tu mkuu

Yesu anajua uislamu period atawakana nyie...wote mnaojita wakristo..
 
Yesu ni mwislam? hayo maneno ungeyasema saudi arabia kichwa chako ni halali yao, muulize yule mcheza mpira aliyemchora Yesu kwenye mkono wake au mtu yeyote aliejaribu kuingia saudi arabia na bilblia kwenye begi lake, huko ni rahisi kuingia na cocaine au bangi lakini siyo bilblia mkuu, sasa kama huyu Yesu ni mwislam kwa nini hakuna ruksa nchi za kiislam kutaja jina lake wala kusoma biblia au kujenga kanisa au kuvaa alama ya msalaba? ilikuwaje kule Turkey TV ya kikiristo ikavamiwa na watangazaji kuuwawa? au pakistan vipi wale wanaomwamini huyu Yesu mwislamu wanauawawa hata waziri wa serkali aliyetoa hoja za kuwatetea pia akauawa na sasa umma wa kiislam unataka muuaji aachiwe huru ? Vipi kule iran yule mchungaji anaetakiwa kuuwawa kwa kuwa mkristo. Bila kusahau misri ambapo mauaji ya wakiristo yanafanywa waziwazi na waislam, umewahi kuona nigeria jinsi waislam wanavyo chinja wafuasi wa huyu Yesu mwislam au Somalia ambapo alshaabab wana landa landa kila mahali kumbaini mfuasi yeyote wa Yesu mwislam ili achinjwe kwa ncha ya upanga? Yapo mengi tu yanayoonyesha kuwa Yesu ni adui namba moja wa uislam na kamwe yeye mwenyewe hawezi kuwa mwislam
Mkuu uislam ni hadaa tangu mwanzo wake hadi mwisho wake, jaribu kuangalia mwenendo mzima wa dunia hivi sasa, shetani anaua bali Mungu anaokoa, utapata jibu. Hujachelewa bado jipe moyo Yesu yu hai na anakuita, ukifungua mlango wa moyo wako yeye ataingia na atakula pamoja nawe.
Mkuu well said! hii post yako nimeilewa sana na nimeipenda sana....lakini hata hivyo ni vigumu sana kuwabadilisha waislaam wenye msimamo mkali
hasa nchi za kiarabu....kwa mtazamo wangu itachukua miaka mingi sana ndugu zangu wa kiislaam kuja kugundua kuwa huwezi ingia peponi kwa
kumuua binadamu mwenzako kwa imani ya kuwa nilikuwa napigania dini ya kiislaam
 
Viongozi wa dini ya kiislaam mkoa wa DSM wamelaani mauaji ya canar Ghadaffi.
Wamesema Ghadaffi amejanga misikiti mingi sana barani Africa ikiwamo Tanzania.
Pia wamesema pale Dodoma Ghadaffi amejenga msikiti mkubwa sana wa kiistoria.
Na mwisho wamesema Ghadaffi alikuwa mbioni kujenga chuo cha kiislamu ndani ya Tanzania.

Source - Channel ten...taharifa ya habari ya saa moja leo jioni

Don't they have names?
 
Back
Top Bottom