Viongozi wa juu chadema munahitajika kufikiria kuongeza vipeperushi na ilani za chama.

NDETIKIRO

Member
Oct 16, 2012
22
4
Nimekua nikichunguza accesbility ya vijitabu vya ilani ya chadema kwa watu wengi inakosekana.na kwakua hapa jf wengi wa viongoz wa cdm wafika nimeamua kuleta mambo yafuatayo;-

(1) uwezekano wa kuchapisha nakala nyingi ili kufikia wengi wanaopenda kuielewa na kuisimamia.
(2) kuwa na vipindi maalumu vitakavyo elezea mipango mikakati ya kukuza uchumi na ajira rasmi.
(3) kuwa na network nzuri na ufuatiliaji kila tunapofungua tawi. Kutoa msaada wa kielimu kuhusu malengo ya chama kwa kila jimbo la uchaguzi na jinsi ya kusimamia utekelezaji.
(4)kuendelea kukijenga chama hiki ndani ya mioyo ya watu kama chama cha ukombozi.
5; kuelekeza nguvu kubwa vijijini kwa kuelimisha kujua shida wanazodumu nazo na vijana kutumia fursa ya kura kwa jili ya mabadiliko mazuri kwa maisha yao.

6;nguvu kubwa sasa nashauri iwekezwe kwa wakina mama. Tunajua umuhimu wao na walivyo fanywa madaraja ya ccm.mimikwa uelewa wangu nafikiri tunahitaji mfumo tutakao tumia kuwafikia kwa urahisi. Wana cdm naomba muongeze maoni chanya nayaamini kufikia 2014 cdm itakua inabase kubwa sana.
 
Back
Top Bottom