Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,217
- 6,349
Jamani naomba msome haya makala kwenye hiyo link hapo chini; binafsi nimeyasoma mpaka nikashikwa na haibu huku hasira za kutaka kupindua nchi zikinijaa. Hivyo nabaki kujiuliza: Hivi viongozi wa nchi hii ni Vilaza ama Vihiyo? Nakaribisha wana jamii mtoe maoni yenu:
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=38659
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=38659