Viongozi wa dini wakiri kuhusika na dawa za kulevya

Nina uhakika kuwa kati ya wote waliochangia Thread hii hawamjui William Mwamalanga. Kama kuna mtu anamfahamu atuambie je William Mwamalanga ni mchungaji wa kanisa gani? Nani alimtawaza kuwa mchungaji? Waumini wake wako wapi?Ukijibu maswali haya ndiyo utabaini Kama kweli hiyo kamati ipo, na hao viongozi wa makanisa wapo. Mimi ninachojua nikwamba huyu ni tapeli tu na ame fabricate taarifa hizo na ndiyo maana wachangiaji wanahangaika sana kuhusu hayo majina
kama utaenda Mbeya mjini utapata habari za mtu huyu ambaye mara anajihita Afisa mazingira mara Askofu mara Mchungaji huyu hana cha kanisa wala chochote labda la briefcase kuna wakati alikaa Dsm akawa anatoa habari katika vyombo vya habari tukabaki kushangaa! naomba sana vyombo vya habari vizingatia sana source ya news.kwa sababu wanaweza kuleta shida kubwa katika Taifa lenye amani kama TZ. Naomba kila mtu anayemjua WILLIAM MWAMALANGA atuhabarishe kabla ya kuchangia hoja hii.
 
Back
Top Bottom