Viongozi wa Dini na Wanasiasa mnamaanisha?!

Mwita Matteo

JF-Expert Member
May 16, 2010
216
55
Kumekua na mzozo mkubwa sasa hivi hapa nchini wa kuukubali ushoga. Naomba ni weke wazi hapa kuwa mimi binafsi si ukubali USHOGA, achalia mbali haki zao, kauli mbalimbali zimekua zikitolewa na viongozi wa dini na wanasiasa kupinga Tanzania kugeuzwa Taifa la mshoga. Ila hapa cha kujiuliza ni kuwa je, hawa viongozi wetu wa dini na wanasiasa wana maanisha wanacho kisema? Moja ya viongozi wa dini alotoa kauli alikua Askofu Kilaini, yule yule alosema Kikwete ni chaguo la Mungu.
 
leo Mh.Membe katoa msimamo a serikali kupinga mapendekezo ya waziri mkuu wa Wingereza ya kuzitaka nchi zetu kuukubali ushoga. mimi siwapingi ila je wako tayari isije ikawa ni kelele za bure kumbe gizani wanasaini, ili wapate misaada, ili kujikwamua na hiyo dhahama hatuna budi kujisimamia kwa kila kitu, ili tusiwategemee
 
Back
Top Bottom