Viongozi wa dini na madawa ya kulevya

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Hivi karibuni Rais wetu aliwakemea viongozi wa dini kuhusu kuacha biashara ya madawa ya kulevya.
Kama ni kweli kuna viongozi wa dini wanauza madawa ya kulevya, unadhani njia gani ni sahihi kwa kiongozi wa nchi kushughulikia tatizo hilo?
Kama unadhani ni wachache tu wanaohusika na jambo hilo unashauri hatua gani zichukuliwe?
Naomba kuwasilisha.
 
Kwa
sababu, ukimkiri Yesu
kwa kinywa chako ya kuwa ni
Bwana, na kuamini moyoni
mwako ya kuwa Mungu
...alimfufua katika wafu,
utaokoka. Kwa kuwa, kila
atakayeliitia Jina la Bwana
ataokoka. Warumi 10:9,
13.
 
Back
Top Bottom