Viongozi wa CUF na gari lao wafukuzwa na wamachinga hapa soko la Kilombero, Arusha

Mrengo Hans

Member
Sep 19, 2012
40
52
Nipo hapa sokoni Kilombero na wamachinga wanajigawia kwa utaratibu mzuri sana kuliko ule uliofanyika na Mkuu wa wilaya kule nmc.

Gari la CUF la matangazo likawa linakuja kuingia ili litangaze mkutano, wanawake wamachinga wamepiga ukunga CCM B wanafiki wanakuja wamachinga wote wakawapigia kelele na gari la CUF likaondoka na kuzima muziki mara moja.
 
CUF chama Kilichokufa , hakiko Mioyoni mwa watu makini na timamu
 
Limenipita hapa chini ya mti kama dakika 20 watu wakawa wanapiga ukunga.....CUF kazi mnayo.
 
Ndio walikuwa wanatangaza ule mkutano wao wa tar 29 utakaohutubiwa na Sultan? Ha ha ha ha ha! Eti wanaenda kuibomoa ngome ya CDM Arusha kana kwamba Chadema ndio chama tawala! Fukuzia mbali hao Vibaraka 4 Change (V4C) na unafiki wao.
 
yaani cuf badala ya kuungana na wapambanaji kumpinga adui,wao wanaungana na adui kumpinga mpambanaji mwenzao.kazi ipo
 
Tena ipo kweli kazi mna Chadema ndio walioanza mna mwaka 2000 Chadema waliungana na CCM ili kumpija vita mgombea Ubunge wa CUF ili asishinde je nani kati yao ana ushirikiano?
 
Kama ccm unrestumae juicyruga CDM imekula kwao. Hapa ni A town nki eat wajanja
 
Hii imetokea maeneo ya kilombero sokoni ambapo wamerushiwa mawe na kujeruhiwa vibaya ambapo majeruhi wamewahishwa hospitali,huku julius mtatiro akitupia lawama chadema kwa kusema wafuasi waliandaliwa ili kuwafanyia vurugu na polisi kwa kutochukua hatua japo walikuwa eneo husika.
Source؛julius mtatiro facebook
 
Bado hatuna experience na siasa kwetu ila fujo za kipumbavu ndio kama siasa zetu.Kama sio Polisi basi wananchi ndio wataanza fujo.
 
Back
Top Bottom