Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

Hii sasa ni hatari. Hivi Sambee Shitambala anajisikiaje? Kwamba kahamia kwa Majambazi
 
Mods,hii sio tetesi,ni ukweli,naomba ubadili heading
waliokuwa wanaongoza huu uharamia ni Mb wa Sumbawanga Aishi pamoja na ester bulaya,wamehojiwa na kuachiwa
Kwa shinikizo kubwa kutoka kwa ccm,Polisi wamemhoji na kufanya search kwa Mkuu wa operation wa Chadema Mwita Waitara,ester alidai Waitara ndiye aliyepiga risasi juu,baada ya search hajakutwa na silaha yoyote
aliyekuwa na bastola na kupiga hewani ni mbunge wa Sumbawanga Aishi

jamani update hii hapa.
 
kweli ccm chama cha genge la kimafia..tutajua mengi kutoka kwa hawa majambazi ya kijani..hongera cdm kwa umakini wenu
 
baada ya kuona habari hii iko kwenye tetesi nimewasiliana na makamanda walioko Igunga wamethibitisha kuwa ni kweli vija hao walifika kwenye hoteli waliofikia makamanda kwania ya kuwa fanyia fujo lakini makamanda walifanikiwa kuwa kamata baadhi na gari moja na mbaya zaidi magari yao hayakuwa na namba..vijana hao walikuwawaaongozwa na mbunge wa sumbawanga mjini a na Bulaya..kwa hiyo mods naomba muitoe kwenye tetesi
 
Mods,hii sio tetesi,ni ukweli,naomba ubadili heading
waliokuwa wanaongoza huu uharamia ni Mb wa Sumbawanga Aishi pamoja na ester bulaya,wamehojiwa na kuachiwa
Kwa shinikizo kubwa kutoka kwa ccm,Polisi wamemhoji na kufanya search kwa Mkuu wa operation wa Chadema Mwita Waitara,ester alidai Waitara ndiye aliyepiga risasi juu,baada ya search hajakutwa na silaha yoyote
aliyekuwa na bastola na kupiga hewani ni mbunge wa Sumbawanga Aishi
Sante kwa kutujuza. Mungu yu pamoja nanyi mkuu!
 
please Nanyaro Ephata fafanua vizuri hiyo update yako ya mwisho kwa kuwa inaleta maswali mwngi kuliko majibu.
 
Mods,hii sio tetesi,ni ukweli,naomba ubadili heading
waliokuwa wanaongoza huu uharamia ni Mb wa Sumbawanga Aishi pamoja na ester bulaya,wamehojiwa na kuachiwa
Kwa shinikizo kubwa kutoka kwa ccm,Polisi wamemhoji na kufanya search kwa Mkuu wa operation wa Chadema Mwita Waitara,ester alidai Waitara ndiye aliyepiga risasi juu,baada ya search hajakutwa na silaha yoyote
aliyekuwa na bastola na kupiga hewani ni mbunge wa Sumbawanga Aishi

Pamoja na kukutwa na silaha huyo mbunge kaachiwa ili akaue kwanza
ndo wafikirie kumkamata sio?
 
kuna habari nimepata pia kuwa jeshi la polisi limejipanga kuwakamata watakao pangwa kusimamia upigwaji wa kura, uhesabuji na ujumlishwaji hili litatokea usiku wa kuamkia uchaguzi...chadema jipangeni na mjue mko vitani..
 
Wakuu ni hivi,mie nipo kwenye eneo la tukio,ccm wakiongozwa na Aish mbunge wa sumbawanga na Ester Bulaya,walifika kwenye hotel tuliofikia,wakiwa kwenye magari mawili,na kuamuru vijana wao wachome moto mafuso mawili ya Chadema ya PA,makamanda wetu wakawadhibiti mapema,ndipo gari yao moja ikakimbia na moja aliyokuwepo Aishi tukaidhibiti,akaanza kupiga risasi,tukamdhibiti,polisi wakaja na wakatoa maelezo yao polisi
Kwa mshangao mkubwa ambao tunaamini kuwa ni shinikizo polisi wakasema wana taarifa kuwa Waitara ambaye ni mkuu wa oparesheni wa Chadema ana silaha ndani,polisi wamechunguza chumbani na hawakukuta silaha yoyote,Kwa sasa Waitara anaandika maelezo polisi
Aishi mwenye silaha na ambaye ameitumia yupo mitaani.
Mtakumbuka wiki moja nyuma nilisema kuwa tumenasa waraka wa cm unaokiri kushindwa hivyo wakakubaliana njia pekee iliyobaki ni kutumia dola
Pamoja na hayo yote makamanda tupo IMARA,na tunasonga mbele,hatulali hadi kieleweke
 
Walikuwa hawana sababu ya kufanya hivyo wakati huo coz walijua watadumu milele. Ukitaka kujua nguvu ya mlevi.......
Kwa hali iliyo sasa CCM itadumu milele. Wanaojiita wapinzani hawana sera! Sera zao ni za msimu. Mfano Padri Slaa, alijichukulia umaarufu kwa suala la ufisadi. Sasa hivi hana tena tena kipya cha kuongea, na tayari anapotea kwenye ulimwengu wa siasa
 
mwaka upi labda ulikuwa huja zaliwa kijana..sokoine, kolimba,salome mbatia siyo watu au wakati mnawaua mlidhani bata..
Una ushaidi gani? Usiharibie hadhi JF kwa kucomment kitu usichokuwa na data.
 
Back
Top Bottom