Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

Hizi dalili za kuonesha kushindwa kwa Ccm sasa wameamua kuleta vurugu hapo Igunga,da ila binafsi nawaombea Cdm wawe werevu katika kukabiliana na Magamba katika njia za utaratibu ambazo zitaweza kuwadhalilisha hawa Magamba,Mungu Ibariki Chadema
 
Mungu AWALAANI, Hao waliowatuma, nao waokote makopo ya plastiki, wazikwe sanda kiroba, watoto wao wawe mateja, wakivuka barabara gari wasiione iwabonde! watoto wao nao wakalie mawe darasani kama wakwetu! Wote wenye mwili waseme, AMINA.
Amina!
 
CDM na CCM wote ni wahuni hatapaswi kupewa kura, nasikia CCM wamewateka CDM hivi hawakuwahi kuliwa tigo? embu mtujuze mlioko huko.


Huu utandawazi unatupeleka pabaya! Mashoga mmepata nguvu na sasa mnajitokeza hadharani. Tumewaona juzi mkitaka "kuingizwa" kisheria. Wasalimie kwa macheni!
 
CCM ndio wataleta machafuko na si Upinzani! sipo kwajili ya kubishana kama unabisha bisha tu
 
Huu utandawazi unatupeleka pabaya! Mashoga mmepata nguvu na sasa mnajitokeza hadharani. Tumewaona juzi mkitaka "kuingizwa" kisheria. Wasalimie kwa macheni!

Mkuu haya ndo maajabu ya Tanzania, wanataka watambuliwe kwenye katiba mpya!!

Mh. Diwani mbona haleti update toka igunga, amekumbwa na maswaibu gani tena?
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza

tujuze mkuu, then tuone hao green guard watafanyiwa nini na polisi Igunga. kama wamewakamata na nyaraka zao zote/viambatanisho vya kuashiria walidhamiria kuchoma, itakuwa njema
 
Jamani Mh diwani mbona hurudi kutuhabarisha zaidi? Umekumbwa na nini tena? Tupo nanyi katika maombi na sala! Mungu atawalinda na mabaya yote.
 
Nanyaro Ephata ni kati ya viongozi chadema walio igunga, inakuwaje hii habari inawekwa kwenye tetesi au imechakachuliwa..
 
Ni kuimarisha ulinzi,kutenda haki na kumwomba Mungu ndivyo vitu pekee vitakavyotupa kiburi cha kukaa na kuhakikisha tunalichukua jimbo,sina shaka na jinsi CDM inavyoenenda na hayo na panapo majahariwa Igunga iko mikononi mwa CDM tayari

kila la kheri makamanda wetu.
 
Taratibu mkuu hao vijana wametumwa tu na akina mukama sababu ya njaa zao. Hiyo adhabu unayopendekeza ni kali mno kwao na kwa utamaduni wetu.

Utaona sasa wananchi wanazidi kuelewa vizuri mbinu chafu za magamba na hata hao vijana usishangae wanageuka na kuiunga mkono chadema.

tata umetoa ushauri mzuri. green guard wa ccm ya leo, kesho watakuwa kiungo kizuri cha intelligensia ya upinzani hasa cdm, watasaidia kuikomboa nchi yetu
 
CDM tunataka kuonyesha kuwa tukishika
madaraka usalama wa nchi utakuwa
makini kiasi gani hatuna mzaha
kwenye mambo ya msingi na ccm
itambue na bravo wana Igunga Bravo
watanzania wapenda haki,bravo
Wazalendo wasomi wetu,kwa pamoja tutalijenga taifa letu.
 
Mods,hii sio tetesi,ni ukweli,naomba ubadili heading
waliokuwa wanaongoza huu uharamia ni Mb wa Sumbawanga Aishi pamoja na ester bulaya,wamehojiwa na kuachiwa
Kwa shinikizo kubwa kutoka kwa ccm,Polisi wamemhoji na kufanya search kwa Mkuu wa operation wa Chadema Mwita Waitara,ester alidai Waitara ndiye aliyepiga risasi juu,baada ya search hajakutwa na silaha yoyote
aliyekuwa na bastola na kupiga hewani ni mbunge wa Sumbawanga Aishi
 
mlioko igunga tuambieni, naona mkuu Nanyaro hawezi ku update habari aliyoiripoti.
 
CCM ndio wataleta machafuko na si Upinzani! sipo kwajili ya kubishana kama unabisha bisha tu

walishatengeneza machafuko siku nyingi.

kwani wananchi wanaokufa huko Nyamwongo nani kaandaa mauaji yao?

bado wasukuma wa geita na shinyanga as well as huko kanda ya kusini mwa tanzania. siku wakitambua wao ni matajiri wa rasilimali na wao ndio wamiliki wa hizo rasilimali, hapatakalika, kwani watapinga unyonyaji kwa garama yoyote ile.

tuwaombee wasukuma waachane na kauli zao za ntu tabhu gete/ntu shia-eti hakuna shida hata kama wananyonywa na wageni wa barric
 
Back
Top Bottom