Viongozi wa CHADEMA watekwa na kufanyiwa vitendo vya Kinyama

Tulishuhudia vitendo hivyo kule Igunga na sasa hapa Arumeru Mashariki, kule Igunga taarifa zilitolewa polisi lakini hakuna hatua zilizochukuliwa na polisi na hata pale ambapo vijana wa ccm, mh. Aeshi na Ester Bulaya walipotaka kuivamia hoteli Waliyopanga Viongozi wa Chadema na kutaka kuyachoma moto magari ya kampeni ya Chadema wakiwa na madumu ya petroli, polisi bado walilifungia macho suala hilo pamoja na ushahidi uliojitosheleza. Je tutegemee nini Arumeru Mashariki?

Tuendelee kuwaamini polisi au wananchi wachukue hatua ya kujihami wenyewe yasiendelee kutokea yaliyotokea Igunga?

Kwani dalili zimeanza kuonekana na polisi ndiyo hivyo.

Nawasilisha kwenu kwa mjadala.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kundi linalosadikika ni la green guard la ccm wamekuwa wakifanya vitendo vya utekaji wa viongozi wa chadema, waliotekwa pamoja na mwenyekiti wa kata wa chadema na mwenyekiti wa tawi la magadilisho pia mwingine ametekwa jana makumira ndugu na jamaa walimtafuta jana usiku mpaka sasa haijulikani kama wamempata.vile kundi hilo lilijaribu kuteka nyumaba ya kulala wageni ambapo kuna viongozi wa chadema.Baada viongozi wa chadema kuwapigia wenzao waliokuwa jirani na hapo hilo kundi likatokomea kusikujulikana

CCM walivyo wajinga utasikia na wao wanakuja kusema makada wao wametekwa na kumwagiwa tindikali
 
Kilichotokea mimi nilikuwa karibu na tukio ilikuwa jioni gari la Nambari wani likitoka maeneo ya tengeru chini ambako walifanya mkutano inasemekana walipata watu wachache wamerudi kupitia njia chini kwenya kambi yao wakiwa na hasira wakalutana na vijana wa chadema wanatoka kwenye mkutano kilichofanyika wale vijana walikuwa wanaonyesha vidole viwili juu wanaashiria vema.Hawa jamaa wa nambari wani wakaonyesha vidole viwili na kuwekidole kingine katikati ya vidole viwili ndio ugomvi ulianzia hapo wale wa chadema wakaona wanatukanwa ndio ugovi ulianza hapo lakini haukuchukua muda mrefu police wakatokea.


Maelezo ya kujitetea utayajua tu! wamewaonyesha v kuashiria vyema. utata mtupu.
 
CDM ni wazoefu wa kuzosha mambo ambayo hayapo. Nyie ni makamanda, leo kwa nini mtuambie mmetekwa???
 
Utalawala utajuta kwa kuacha uozo huu uendelee yaani watakapo kuwa nje ya mfumo ndipo watagundua makosa yao.
 
Hapa ndipo polisi wanapotia hofu ufanisi wao. CCM wakilalamika hata kama ni uongo polisi hawalali. Lakini kwa CDM ndo kwanza wanaongeza pamba kwenye masikio yao.
Kwa hili, hili jeshi linatakiwa liwe neutral. Vinginevyo kwa wale ambao hawapewi ulinzi na polisi wataamua kuwa na secret service zao kwa ajili ya usalama wao.
Mwanzani inakuwa kawaida lakini hizo secret service zikikua ndo huzaa hizi terrorist gangs. Pls polisi, CCM ni Watanzania, CDM ni Watanzania, CUF ni Watanzania, TLP ni Watanzania nk nk, na wote hao wanalipa kodi ambazo bila aibu mnazigeuza fimbo za kuwachapa na kuwatoa uhai wao.

Shame to you guys.
 
Acha kujidanyanya wewe . Ukitaka kujua chama gani kina vurugu , anza kuangalia kuanzia hapa Jf watu wa chama gani ndio wanaongoza kwa matusi na wasiokubali kukoselewa alafu utapata jibu la chama kinachoongoza kwa vurugu .
 
Cha kujifunza ni chama tawla hakina sera na wala dira ndiyo maana kinatumia kila aina ya nguvu na hila kuhakikisha kuwa kinaendelea kutawala
 
Acha kujidanyanya wewe . Ukitaka kujua chama gani kina vurugu , anza kuangalia kuanzia hapa Jf watu wa chama gani ndio wanaongoza kwa matusi na wasiokubali kukoselewa alafu utapata jibu la chama kinachoongoza kwa vurugu .

buchomwelewe huyu jamaa,ana maana kuwa kwanini hata kama ni chadema wamefanya fujo baada ya uchaguzi kesi haziendi mahakamani?

bwana musa tesha alimwagiwa tindikaliigunga ameshapona na wale watu anawajua kwa nini hakuna kesi mahakamani?
muda unakuja ukweli utajulikan
 
acha kujidanyanya wewe . Ukitaka kujua chama gani kina vurugu , anza kuangalia kuanzia hapa jf watu wa chama gani ndio wanaongoza kwa matusi na wasiokubali kukoselewa alafu utapata jibu la chama kinachoongoza kwa vurugu .
zero brain!!!!!!!!!!!! Si ungekaa kimya?.akili zenu kama toto la chekechea ya yeboyebo!!kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.over!
 
Back
Top Bottom