Viongozi wa Chadema walijuwa Mauaji ya Nyololo mapema

Huujui ujumbe alioutuma Slaa kwa IGP Mwema?

hivi kwani kila ambalo unalisikia...yaani kila unalolisikia hulipitishi kwenye your cognitive sieve kujua lina ukweli kiasi gani? kusikia ni moja, kuliamini na kulikubali ni suala jingine.
 
Huujui ujumbe alioutuma Slaa kwa IGP Mwema?

vilevile ni muhimu kujua ni ipi iliyokuwa maana halisi ya ile text. what was the message between the lines? wengi wanafahamu jinsi ambavyo polisi wametumika kufanya vurugu kwenye mikutano ya CDM hata kabla ya huo wa Mufindi.

mangapi ya hovyo yamefanyika na viongozi waliopo madarakani na hawajafanywa lolote. ati kwasababu ni Slaa tumbane kwa text msg. if they r serious about the text na kama ina ukweli kiasi hicho; mbona tangu nimemsikia Nchimbi akisemea hiyo text kwa media hakuna hatua iliyochukuliwa? knowing how happy it will make the CCM guys to see Dr. behind bars, kwanini hakuna kilichofanyika? we huoni kulikuwa na a sort of kiini macho if not kiini masikio abt the text??
 
haswaaa! Angedhuriwe dr. Slaa mi ningelipa mara mia moja!

kwani dokta slaa katika nchi hii yeye ni kama nani na akifa ataleta madhara gani kwa nchi hii ya tanzania mbona wengi wa maana wamekufa ????????
 
Back
Top Bottom