Viongozi wengine waliwahi. "Aliyechelewa" ni Dr. Slaa peke yake. We¨nzake mpaka kwenye picha za matukio wanaonekana, yeye ufunguzi wa tawi la kwanza "kachelewa", la pili pia "kachelewa". Logically, ilibidi ufunguzi umsubiri kiongozi mkuu, kuendelea kwa shughuli ilhali kiongozi mkuu hajafika ni ishara tosha kuwa ilifahamika kuwa kaingia mitini...
Akili kichwani...
Ila siku hizi umechuja kuna kipindi ulikuwa na thread kama mia-mia tatu hivi kumponda Dr Slaa sijui umepatwa na nini pole Kamhanda alitaka kumuua Dr Slaa kiu yake ilikuwa hiyo na hasira zake akamalizia kwa Daudi Mwangosi lakini pepo la Mwangosi litawachukua wengi