Viongozi wa Chadema usalama wenu upo hatarini

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Chadema iangalie upya usalama wa viongozi wao kwa makini,ni dhairi ccm wana nia ya kuimaliza Chadema kwani wameshaona ni hatari kwao
nashauri uongozi mzima wa Chadema ukae chini ikiwezekana watumie makampuni ya nje kwa ajili ya ulinzi,nashindwa kuamini kama tutafika 2015 salama
ccm wapo tayari kumwaga damu ya mtu yeyote bila kujali ni nani ili mradi waendelee kutawala
naomba kuelewa kama kuna umuhimu wa kuanzisha kikosi cha siri cha kulipiza kisasi kwenye matukio kama haya kwa sababu tukiendelea kunyamaza tutaisha wote kabla ya 2015
 
Waache thithiemu waendelee na vita mfu yao ila wanalopaswa kuelewa ni kuwa "kitako cha sufuria hakiogopi moto"
 
Mi naenda nunua kabastora kadogo, yani siku nikiwa na mandamano hapa arusha make huwaga sikosi wakirusha bomu tu nami namvizia kamanda zuberi namlipua
 
Chadema iangalie upya usalama wa viongozi wao kwa makini,ni dhairi ccm wana nia ya kuimaliza Chadema kwani wameshaona ni hatari kwao
nashauri uongozi mzima wa Chadema ukae chini ikiwezekana watumie makampuni ya nje kwa ajili ya ulinzi,nashindwa kuamini kama tutafika 2015 salama
ccm wapo tayari kumwaga damu ya mtu yeyote bila kujali ni nani ili mradi waendelee kutawala
naomba kuelewa kama kuna umuhimu wa kuanzisha kikosi cha siri cha kulipiza kisasi kwenye matukio kama haya kwa sababu tukiendelea kunyamaza tutaisha wote kabla ya 2015

inawezekana kabisa lakini CCM wakifanya hivyo wanaweza kuitia nchi kwenye machafuko kwani walishataka kuyafanya siku za nyuma hayo unayoyasema mara kadhaa lakini watu wa usalama wa taifa wakawakatalia kwa sababu za kiusalama
na tunapokwenda mbele ambapo CCM inazidi kuonekana haikubaliki ndani ya jamii uwezekano wa ku conduct such operation unakuwa mdogo zaidi kwani watu wa usalama wanajaribu ku focus na life after ccm kwanza juu yao kabla ya kuwafikiria viongozi wa ccm.
 
Ni mtazamo wako lakini debatable. Huo 'usalama wa taifa' kama vilivyo vyombo vingine vya ulinzi na usalama kwa muda mrefu vimefungamana na CCM. Ndiyo maana Mkuu wa Majeshi, Kamanda wa Polisi, n.k. anaacha kazi leo mwezi ujao anagombea ubunge kupitia CCM. Huku tunadanganywa kuwa maofisa wa ulinzi na usalama hawawezi kuwa na kadi za uanachama wa vyama au kushiriki siasa. Hao sasa hizo sifa za kugombea ubunge wanazipataje katika muda mfupi kama hawakuwa makada kabla? Tukirudi kwenye mada yenyewe ni kweli mauaji haya hayapaswi kunyamaziwa. ni muhimu harakati zianzishwwe za kupinga mauaji hayo ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na taasisi kama Amnesty International, Human Rights Watch, ICC na zinginezo. CHADEMA hasa wanapaswa kuongoza harakati hizi vinginevyo wataonekana wanahatarisha maisha ya wanachama/mashabiki wao kwa maslahi ya kisiasa tu.
 
Back
Top Bottom