Elections 2010 Viongozi wa Chadema tuambieni tukusanyike wapi

Hayo matokeo yameandaliwa kabla hata ya uchaguzi na kutumwa NEC yale yenyewe yamechakachuliwa, ni imani yangu mwisho wa CCM ndo huu, kama watachomoka saizi ndani ya miaka mitano itakuwa migumukwa watanzania. Its too sad.

Kama yameandaliwa ilikuwaje mkakubali kuingia katika uchaguzi?Na pia hao wabunge lukuki mliotengeneza nao wameandaliwa na NEC?
Mwisho nyie mlidhani kutumia udini ungewanufaisha kumbe watanzania wa leo hawataki mambo hayo!Ujinga mtupu,na upuuzi kukumbatia udini.
 
Usidanganye watu ndugu yangu. Kama ingekuwa hivyo kwa nini TUME iwakataze watu kutumia matokeo kama yanavyopatikana kwenye vituo. Wasimamizi wa vituo wana haki ya kutangaza matokeo ya vituo vyao. NEC taifa inatakiwa itangaze mshindi atakaye pata kura nyingi.

Matatizo ninayo yaona:-
1. NEC ya akina Makame na Kiravu haitambui kuwa wasimamizi wa vituo nao ni NEC. Ndio maana wakawazuia kutoa matokeo ya uraisi
2. Kama wasimamizi wa vituo wameaminiwa kutanga washindi wa udiwani na ubunge, kwa nini wasiaminiwe kutanga matokea ya uraisi

Hapa kuna namna na watanzania tunatakiwa kuwa macho na ili. La sivyo tutegemee akina R1, January, Mwinyi n.k wataendelea kupeta
"kama hauitambui kampeleke mama yako NEC,wewe una sauti gani katika nchi hii hadi useme haumtambui Makame and team.baba yako slaa anawatambua itakuwa kima kama wewe.umekalia uhayawani na umbea tu.kama unawashwa sana mwambie slaa akupakue"
 
tuache ushabiki, katika uchaguzi wa mwaka huu ni vigumu sana kuchakachua matokeo, labda kwa kuwahonga mawakala. Kila kituo kina wakala, baada ya kuhesabu matokeo hujazwa na kila wakala husaini na kupewa nakala ya fomu ya matokeo. Matokeo yakiwa tofauti na nakala aliyopewa wakala, kisheria matokeo hayo ni batili. Sasa utachakachuaje hapo. Tuache ushabiki wa kisiasa, unaweza kuiangamiza nchi yetu. Tudai haki kwa demokrasia. Kama chama fulani kimeshinda, wacheni kiongoze. Ndio demokrasia. Jambo la msingi la kufanya ni kujipanga ili na hiki kilichoshindwa kishinde katika uchaguzi ujao. Kama kina sera nzuri kiwaelimishe wananchi hadi wakikubali na wakipe ushindi. Otherwise tunaweza kuipeleka nchi yetu kubaya


wanakuhaleluya wewe kiatu kabisa nyambafffffffffffffff
 
"kama hauitambui kampeleke mama yako NEC,wewe una sauti gani katika nchi hii hadi useme haumtambui Makame and team.baba yako slaa anawatambua itakuwa kima kama wewe.umekalia uhayawani na umbea tu.kama unawashwa sana mwambie slaa akupakue"

Hivi mijamaa yenye akili fyatu kama Malembeka inatafuta nini kwenye jukwaa la great thinkers? Wewe ndo unawalazimisha CHADEMA waanzishe vurugu nchini? Hivi nyie watu akili zenu zipoje?
 
Kama yameandaliwa ilikuwaje mkakubali kuingia katika uchaguzi?Na pia hao wabunge lukuki mliotengeneza nao wameandaliwa na NEC?
Mwisho nyie mlidhani kutumia udini ungewanufaisha kumbe watanzania wa leo hawataki mambo hayo!Ujinga mtupu,na upuuzi kukumbatia udini.

Wewe inaelekea ni juha, kati ya Slaa na Kikwete ni nani aliyekuwa anatumia udini kama fimbo ya ushindi? Kwanza hebu angalia matokeo yenyewe yalivyokaa. maeneo yote ya waislam, ameshinda lipumba na Kikwete lakini wakristo wamempa kikwete bila kujali dini yake. Kuwa na kiongozi anayewagawa watanzania kwa misingi ya kidini, kama alivyo kikwete ni hatari kubwa sana. Nafikiria hali ya udini itakuwaje itakapofika 2015, kama miaka mitano tu hii aliyokuwepo madarakani hali ya nchi ndiyo imekuwa hivi?
 
Kama noma na iwe NOMA tu, Damu kitu gani maisha haya...

Dont talk about damu!! Unataka imwagike damu ya nani? Watanzania tuwe watulivu, tudai haki yetu kwa utulivu mkubwa na si kukimbilia kwenye kumwaga damu. Hii ni hatari sana kwa mstakabali wa nchi yetu. Tafadhari watanzania wenzangu tusitumie jukwaa hili kama sehemu ya kuhamasishana ili kuanzisha machafuko.
 
Wakuu tuache kuhamasishana kufanya mambo ambayo yataipeleka nchi katika machufuko. It doesnt matter whether wamechakachua or not, so far, hayawezi kubadilika. Sanasana hapo watu kadhaa watapoteza maisha, na Kikwete ataendelea kuwa Rais, waliokufa itakuwa imekula kwao. Sasa it doesnt help. Lets be generous tunapofanya maamuzi magumu kama haya. Hivi kuna fahari gani tuingie kwenye machafuko kama ya Kenya halafu at the end of the day, Slaa awe waziri mkuu wakati watanzania elfu kadhaa wapo kaburini? Tuweni waungwana wakuu. Mshaurini Slaa atulize mzuka kuokoa maisha ya watanzania wanaoweza kufa pasipo hatia.

teh..teh..tehhhh hakyanani watanzania waoga! hasa linapokuja suala la kupigania haki zao.....mwaga yako leo mtoto wako aishi vizuri kesho! now thats fair!
 
Mkuu nadhani hauifahamu Tunduru Kaskazini; Ni sawasawa na kulalamika Dr. slaa kupata kura 40 kwenye jimbo la Pemba,kama ungeifahamu hali ya kisiasa ya huko usingeshangazwa kwa Chadema kupata kura hizo.

Tatizo wengi wetu tunaifikiria hali ya kisiasa ya Tanzania kwa mtizamo wa ki-JF, muhimu ni kuyachukuliwa matokeo haya kama fursa nzuri ya kujenga mtandao mzuri wa kichama kuelekea 2015, makosa ya NCCR baada ya uchaguzi wa 1995 yasirudiwe kamwe.

THANK YOU ----Butola kwa kumuelewesha huyo jamaa. Kuna watu humu wanaleta jazba bila kuelewa. Vilevile wanaleta vurugu za kwenye keyboard hata social issues za Tunduru hawazijui ---- Ni rahisi sana kukaa kwenye keyboard na kuanza kulalama.
 
Back
Top Bottom