Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
- Thread starter
- #21
Hawana jeuri hiyo. Wao ni kaskazini tu.... wanashindwa kujua kuwa nchi yetu haina mfumo wa vyama vya kisianza vya majimbo bali vinatakiwa kuwa vya kitaifa.
Haya maneno yako muda si mrefu utakuja kuyajutia, ukiwa muungwana utakujja kukiri hadharani lakini usipokuwa muungwana utakiri kimoyomoyo.
Ni mwaka juzi tu mwezi october mwenyekiti wako alikuwa akiibeza chadema kuwa ni chama cha msimu, lakini sasahivi anatamani chadema isambaratike ili apumue!