Viongozi wa CCM na CUF wajiunga na CHADEMA Mwanza

johnn

Member
Jan 25, 2012
31
12
Baadhi ya viongozi wa CCM na CUF wilaya ya Magu Mkoani Mwanza wamejiuzulu nyazifa zao na kujiunga na CHADEMA kwa madai kuwa wamelenga kuwatumikia wananchi kikamilifu.
Source: ITV
​
 
Wamechangua fungu lililo bora. Karibu katika ukombozi. I wish Uchaguzi ungekuwa mwaka kesho.
 
Karibuni tupige mzigo wa kuiokoa Tanganyika! good choice for the good people!
 
Baadhi ya viongozi wa CCM na CUF wilaya ya Magu Mkoani Mwanza wamejiuzulu nyazifa zao na kujiunga na CHADEMA kwa madai kuwa wamelenga kuwatumikia wananchi kikamilifu.
Source: ITV
​

taarifa ya lini hii?
 
Wako wengi tu wameshachoshwa na hicho chama cha kizamani ila muda ukifika tutawapokea wengi tu since ni watanganyika wenzetu. Wako wengine walioko serikalini ila wanalinda mshahara tu. All in all time will tell.
 
haya shime vidume. tangulieni nami nipo njiani kuja hapo Magu kuongeza nguvu. huyu mabina, limbu na kamani hapo Busega lazima wajiharishie. huuu moto wa mabadiliko hawana uwezo hata wa kuusogelea. NALIZAKO BHANAMHALA.
 
Wako wengi tu wameshachoshwa na hicho chama cha kizamani ila muda ukifika tutawapokea wengi tu since ni watanganyika wenzetu. Wako wengine walioko serikalini ila wanalinda mshahara tu. All in all time will tell.

Wengi2 wamejivua gamba kwani hata huku Jimbo la Mlalo tawi nzima la CUF Kata ya Kwemshasha walihamia CDM wakati wa ufunguzi wa tawi la CDM KATA YA KWEMSHASHA iliyoongozwa na kamanda KEVIN SHEMBOKO.Miongoni mwao ni aliyekuwa mgombea udiwani 2010 kupitia CUF.NI VIGUMU KUJUA KWA NINI CHADEMA INAPENDWA,LAKINI UKIWASOMA SOCRATES,PLATO,IBN LAKUN,CONTE,KARL MAX,NKRUMA,JK,ORNSTEN,LENIN,HEGEL NA WANAFALSAFA WENGINE UTAGUNDUA CHADEMA NI PARTICIPAORY PARTY.
 
NZUGWi pye abose chadema,i ccm chama ya mala ngh'wi ya shija makala gike.'CDM NGUZU YA BANHU'- ppz powa!
 
Back
Top Bottom