Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,063
- 22,755
Naomba msaada kwani kiswahili kinanipa taabu kidogo, Je
- Mroho wa kitu ni anayetafuta kitu naye apate au aliyenacho na hataki mwingine apate ?
- Mroho ni mwenye njaa anayetafuta chakula au mwenye shibe anayekula na kusaza ?
- Mroho ni masikini ambaye hana hata cha kuita cha kwake au tajiri aliyekomba jila kitu ?
- Mroho wa madaraka ni Chadema inayotafuta madaraka au CCM iliyokaa madarakani miaka 50 ?