Viongozi wa AIG na wale wa Afrika

akili

Member
May 5, 2008
68
0
HAWA wote ngoma droo. Jamaa hudai chao mbele kwa mbele iwe kampuni au nchi inakwenda mbele, iko pale pale au inarudi nyuma potelea mbali.

Basi jinsi Obama alivyowashikia bango viongozi Waafrika ambao hawana aibu kwa kupiga marufuku ombaomba mitaani kwao lakini wao wenyewe wanatembeza mabakuli dunia nzima.

Wanashauriwa na watu kama kina Mo Ibrahim kuacha ombaomba lakini wakikutana na Mzungu kiwewe kinawashika na wanarudia tabia ile ile ya omba omba wa dunia. Je, kweli, viongozi wetu wanastahili kuendelea kuwa kina Matonya miaka hii jamani?
 
Back
Top Bottom