Viongozi wa Afrika na kuwajibika kwa kujiuzuru??

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Ninaomba tujadili wana JF. Kwa nini viongozi wa Afrika hawana utamaduni wa kuwajibika kwa kujiuzuru kama ilivyo kwa viongozi wa mabara mengine tena bila kushinikizwa ? Nawasilisha.
 
Nchi nyingi za africa bado zinatumia katiba zilizoachwa na mkoloni ambazo hazikidhi mahitaji ya watu wengi, ni rahisi mno kuzichakachua kwa sababu ya uchanga wa nchi zenyewe!! Kwa hiyo katika vuguvugu linalopita saizi, lazima watawala watalazimika kuzibadili ili kuendana na mahitaji ya watu, hivyo basi huu utamaduni wa viongozi kutowajibika utaisha tu pale katiba itakapokuwa na meno.
 
Back
Top Bottom