Viongozi wa africa

Baba Ubaya

Senior Member
Jun 24, 2008
127
19
Nimekua nikijiuliza kwa nini viongozi wa Africa si wepesi wa kuachia madaraka hata pale inapoonekana mambo hayendi vizuri kwenye suala zima la kukuza uchumi achailia mabali kutimiza ahadi walizoaidi kipindi cha uchaguzi.Nimekua nikifatilia kinachoendelea Italy na Ugiriki wako makini na masuala ya uchumi wa inchi zao hadi kupelekea viongozi wa juu kabisa kuwajibika.
Kwa nini kwetu africa na tanzania ikiwemo hatuna utamaduni huu jamani tuna matatizo gani sisi?
 
Damu wanazomwaga magamba ndio zitakaoleta ukomboz wa nch hii. Very soon Arusha. Musoma na Mbeya. Saidi mwema atajutia na mkweere wake. Kila siku wanauwa watu
 
Back
Top Bottom