almasi Jamila
New Member
- Sep 4, 2012
- 1
- 2
Sherehe za miaka 50 ya uhuru Tanzania inasemekana iligharimu pesa nyingi sana lakini cha ajabu ni kwamba Madaktari na wauguzi waliokuwa wakitoa huduma kiwanjani hawajalipwa hadi leo posho zao,wakiuliza wanaambiwa kundi lenu lilikuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu wakienda kuuliza wanaambiwa zipo wizara ya Afya,wakienda wizarani wanaambiwa pesa zenu zipo ofise ya Rais ila subirini Hazina watatoa,kwa nini viongozi wetu mlaleta siasa kwenye ujuzi wa watu?woote walipwe ila watu wa afya wasilipwe?mnamaana gani?au mnataka nini kwa madaktari na wauguzi?Tafadhali wahusika walipeni watu hawa acheni siasa