Viongozi na rushwa, Tanzania rushwa, Rais na rushwa, Bunge na rushwa, Wizara na rushwa.

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Rushwa, ubadhrifu, wizi na
udokozi wa mali za umma
unaendelea kwa kasi, ari na
nguvu mpya nchini Tanzania.


Wakati mwakyembe
akishanga twiga, pamoja na
urefu wake, kupakiwa
kwenye ndege, huko
bandarini makontena
yanayeyuka kama barafu -
mafisadi wanatia makontena
mifukoni kama vile mwizi
anavyoficha kiberiti mfukoni!


Rais kikwete anashangaa
matumizi makubwa ya
rushwa ktk chaguzi za ndani
za CCM.

Anashangaa tu bila
kuchukua hatua za
kukomesha tatizo hilo. Katika
uchaguzi mkuu uliopita,
rushwa ilikuwa ikitolewa
hadharani bila kificho.


Takukuru hawajawahi
kumkamata hata mtu mmoja.
Wamekuwa wakiwaita
watuhumiwa, wanakaa
mezani wanamalizana na
biashara inaishia hapo.


Matokeo yake, wafanyakazi
wa Takukuru wanafukuzana
na wale wa TRA kwa utajiri.

Kumbe wapo pale kibiashara
zaidi kuliko kikazi.
Kiasha cha Tsh. 32 bilion
zimechotwa kutoka hazina na
kuliwa na wajanja.
Walipoulizwa zile pesa ziko
wapi, wakadai wamezipeleka


Tume ya Ushirika, ambayo
haipo kiuhalisia wala kisheria.


Sisi wananchi yetu macho.
Tunasubiri kufanya maamuzi
sahihi ktk uchaguzi mkuu wa
mwaka 2015.
 
Rais akilalamika kuhusu rushwa
kukithiri, wananchi wanapaswa
kwenda kwa nani kupata msaada
ili kupambana nayo?
 
Bila ya rushwa CCM, utaanguka kama Makongoro Nyerere, no body care anymore about mtoto wa Baba wa Taifa?
money talks, naomba Nape akanushe ukweli huu
 
Back
Top Bottom