Viongozi mafisadi waliopo, maisha magumu kwa watanzania chanzo ni UDSM

koplo

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
574
152
kubali au kataa huo ndio ukweli 90% ya viongozi wa serikali ya ccm wametokea UDSM watendaji wakubwa wa wizara na taasisi mbali mbali wametokea UDSM , Hii inaonesha kwa jinsg gani chuo hiki kimeshindwa kuandaa watawa na wataalamu wenye uzalendo na taifa hili , zaidi ya kujilimbikizia mali na kuendekeza undugu katika ajira. Wachache wanajifanya kuwa wanauzalendo na nchi ila hayo wamekuja baada ya kukosa nafasi ndani ya Serikali ila endapo wangepata basi wangekuwa kama wenzao.elimu inayotolewa na UDSM imeshindwa kuendeleza taifa hili kufikia kujikwamua katika hali duni ya maisha kwa watanzania. wakandalasi wanao dondosha magholofa wametokea UDSM,Madaktari,wanasheria wabovu wote chanzo ni UDSM
Wabaya walio andaliwa na UDSM ni wachache kuliko wazuri thats why nchi imeshindwa kuendelea
 
acha chuki kama ulikosa marks za kuingia udsm ni kwamba hazikutosha tu. Kwani waadilifu kama Zitto, Lissu NA MIMI na wengine mbona wamesoma pale UDSM.
 
koplo kujakitendea haki chuo kikuu cha dar es salaam, hicho chuo hakifundishi ufisadi na maadili mengine mabovu ya aina hiyo bali matendo hayo yanayoathiri jamii ni hulka za mtu binafsi na hata mara moja si sahihi kufungamanisha na itikadi, ukoo, elimu wala chochote ni jambo binafsi. Koplo unachotaka kufanya ni jaribio ambalo hata hivyo halitafanikiwa la kutaka kukiinua chuo ulichosoma at the expense ya UDSM, koplo you're fighting a loosing battle. UDSM imetoa mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya nchi hii unafanya kosa kubwa sana kujaribu kulinganisha na university yako ya kata ambayo umeogopa hata kuitaja.
 
Yaani katika majitu yasiyofikiri kwa kutumia eneo la kichwani basi ww no 1...any way nafikiri marks za kwenda udsm hazikutosha ndo mana una chuki chafu!
 
Kweli hata kama siyo wote product za UDSM corrupt ukilinganisha na zile za SUA na sasa Tumaini na Mzumbe:ubaya wa UDOM na Mzumbe ni viwango duni lakini maadili safi. Sisi sasa tunaajiri SUA kwa wingi hata mashirika ya nje mengi uliza wanakwenda SUA
 
Mbona umetaja mabaya tu!

Unamaanisha madaktari, Wanasheria, Walimu, Ma Engineer waliopita UDSM wote wabovu?
 
And those growing sectors and companies e.g Banking, beverages & industries also their managers graduated from UDSM dont forget the emerging parties other than CCM leaders also came from the same UDSM.
 
nilikuwa nasikia watu wanafikiria kwa kutumia masaburi, nikajua uongo, kumbe kweli. wewe mmojawapo! udsm ni chuo na 9 KWA ubora afrika, cha kwanza east africa..kilizalisha wataalamu wote wa kwanza katika nyanja ya sheria east africa na kwingineko. Sasa huyu mama wa bunge kasoma mzumbe, anafanya ***** bale mjengoni, je unaweza kuhukumu chuo kwamba hakikumfundisha maadili, na mbona huko kote alipokuwa alikuwa anapeform vizuri..jibu ni sytem, inawezekana hata hao uliowatageti, ni system imewaharibu, but usihusianishe na udsm.... Warioba -udsm, Butiku - Udsm, Zitto, na wengine pale, wana uzalendo wa kweli......
 
inawezekana kweli kwani mpaka leo kuna wanafunzi wanatakiwa weawsilishe loose bound ya disatetion za masta zao walimu hawapo wamejikita na mambo ya kisisiasa pia kuwapotezea muda wa kukamilisha masomo yao ushahidi nnao.
 
acha chuki kama ulikosa marks za kuingia udsm ni kwamba hazikutosha tu. Kwani waadilifu kama Zitto, Lissu NA MIMI na wengine mbona wamesoma pale UDSM.
Hata mimi Power nilisoma Udsm halafu nika-disco lakini ni muadilifu sana tu.
 
Mimi nimesoma UDSM lakini hebu angalia Prof Mkandara Dr Bana na wengine wengi ni janga la kitaifa na ndio maana walimfukuza Prof Baregu na Dr Lamwai
 
mimi sinaimani na maswala ya chuo ila kikubwa ni uzalendo wa kila mmoja. ukiangalia kuna watu wana elimu nzuri sana lakini wanfanya madudu sana pia government system nayo nitatizo ndio inachangia kwenye madudu haya
 
mimi sinaimani na maswala ya chuo ila kikubwa ni uzalendo wa kila mmoja. Ukiangalia kuna watu wana elimu nzuri sana lakini wanfanya madudu sana pia government system nayo nitatizo ndio inachangia kwenye madudu haya

nimesoma udsm pia lakini ukiangalia systerm ya uongozi ya jk ni ile ile ya udsm daruso, kuuza vyumba na kuwapa madem zao vyumba, kuweka vikao viingi vya posho, kidogo nakubaliana na mtoa hoja ingawaje inawezekana pia systerm inachangia, lakini nathani sisi wa udsm tunanafasi kubwa ya kubadili systerm kuliko wengine woote!
 
acha chuki kama ulikosa marks za kuingia udsm ni kwamba hazikutosha tu. Kwani waadilifu kama Zitto, Lissu NA MIMI na wengine mbona wamesoma pale UDSM.

Nimesema wabaya wengi kuliko wazuri wengi ndio hawafai elewa
 
Yaani katika majitu yasiyofikiri kwa kutumia eneo la kichwani basi ww no 1...any way nafikiri marks za kwenda udsm hazikutosha ndo mana una chuki chafu!

acha chuki kama ulikosa marks za kuingia udsm ni kwamba hazikutosha tu. Kwani waadilifu kama Zitto, Lissu NA MIMI na wengine mbona wamesoma pale UDSM.
Ni kweli mnayoyasema...hawa vilaza ndivyo walivyo.
 
Haaahaaaa koplo umedhubutu!!! Sasa tafuta helmet kabisaa, halafu usubirie mawe kutoka udsm, tafuta helmet ya chuma usije pata brain concussion buree! Nilikuwepo...
 
koplo kujakitendea haki chuo kikuu cha dar es salaam, hicho chuo hakifundishi ufisadi na maadili mengine mabovu ya aina hiyo bali matendo hayo yanayoathiri jamii ni hulka za mtu binafsi na hata mara moja si sahihi kufungamanisha na itikadi, ukoo, elimu wala chochote ni jambo binafsi. Koplo unachotaka kufanya ni jaribio ambalo hata hivyo halitafanikiwa la kutaka kukiinua chuo ulichosoma at the expense ya UDSM, koplo you're fighting a loosing battle. UDSM imetoa mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya nchi hii unafanya kosa kubwa sana kujaribu kulinganisha na university yako ya kata ambayo umeogopa hata kuitaja.

tatizo la watu mliosoma UDSM hampendi kuambiwa mabaya mnataka kusifiwa tu. Utanibishia mimi ila hauwezi kuubishia moyo wako unajua madudu yanayo fanywa na wengi waliopitia UDSM walio kwenye nafasi kubwa nchi hii, sio busara kusifia maendeleo kiduchu yaliyofikiwa ndani ya miaka 50 ya uhuru. KILIPO ANZISHWA UDSM walitegemea kitaleta mabadiliko makubwa zaidi ya haya kiduchu
 
Back
Top Bottom