Viongozi CHADEMA muongeze umakini!

Umakn upo ndio maana akina papara kama lema na john shbda watatuharibia chama,ila nashangaa huyu lema kuwekwa kila kona hivi sasa,yaani nasema hivi pupara zake ziko kona ya mitaa ya sinza zaenda magomeni,atakufa kisiasa mapemaaaaaaaaa.

Mbowe akubali kukosolewa anawaona wanaomkosoa ni maadui zake,aisee ile kanuni ya kuvunja chama itafanikiwa ikiwa jamaa ataangushwa uchaguzi wa chama ujao...yaani huyu ni hatari kwa chama kuliko yeyote na hata kama slaa angekuwa rais...tungeongozwa na mbw,kwani hana kauli kwa mbw jamani....hii ni htari...humuhumu mpaka kieleweke.
 
Mkuu uchaguzi wao ni lini?
 
Lema anacheza na uwanja wa nyumbani CHADEMA ni ya wachaga! Ni chama chao yuko free kufanya lolote!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom