Viongoz wetu wasivyojali.

NGONYA NM

Member
Jan 8, 2012
39
15
Salaam wana jf. Naomb kuwasilisha kwenu mada ya viongoz wa serikali yetu wasivyowajali wananchi waliowaweka madarakani ili wawatumikie. Ndg zangu mkuu wakaya tumemuona kweny tv akifurahia nakucheka kama kawaida yake hko Davos naviongoz wenzake.

Aliondoka nchin tayar mgomo wa madaktar una siku mbili bila kujali kwamb wako watakaoathirika namgomo huo badala yakubakifatafute suluhsho akakwea pipa na msafara wake tulioambiwa unakisiwa kutumia mil. 300 akawaacha madakatar wakiomb nyongeza ya mshahara na posho. Je hcho kias kisingetosha kuwaongezea hzo posho wanazodai madaktari? Kwel mwenye shbe hamjui mwenye njaa.

Kama haitosh mtoto wamkulima Mh Pinda badala yakuongea na madaktar anaongea na wahariri wa vyombo vyahabari nakuagiza madaktar wamfuate wakaongee juu yatatizo lao nikwamb mwenye shda mfuate mganga du! Kwel viongoz we2 hawajali Nawasilisha
 
Back
Top Bottom