Violeti mzendakaya akimbia mjadala kisa kiingereza

- Unfair: huwezi kuwa Makerere University ukawa hujui English wale sio kama sisi wababaishaji!

Willie @ NYC, USA.

Kaka naona huijui Makerere hata kidogo, labda unaongelea Makerere ya Historia pole sana kwa taarifa yako watu wanaokwenda kusoma Uganda siku hizi ni form na six failure wa Tanzania nawafahamu zaidi ya mia moja!

Nawajuwa waliopo hiyo Makerere yako ambao hata hawajui kiingereza cha kuombea kazi tena wapo wengi sana hapa Tanzania wanakuja maofini kuomba kazi vichekesho sana.
 
Mapenzi kwenda mbele¬!

Mchungaji mimi nime-visit Uganda mara kadhaa hamna kitu kwa hao wazinzi wetu (We tafuta mmoja kuwa serious kama ujaenda Uganda kuchapa nawo), watoto wote wanaokwenda kusoma Uganda ni wale waliofail huku Bongo, na asilimia 70 hawasomi huko ni vyeti fake na ngono kwa kwenda mbele, hakuna kitu kabisa, tena kuna wengine kule wanaishi na wanaume mtaani kabisa lakini wazazi wanajuwa wapo shule!

Hawa ni watoto wa nyoka hacha wawe nyoka.
 
mmh! Nimepotea njia wakuu. Hebu nisaidieni ka mlango ka kutokea.
.
 
Facebook bwana akili zao mbovu kweli lakini kwaa hili wacha wamweleze . HIvi Mzindakaya huwa haji hapa JF ? Si ajaribu kutia mguu ? Hapa ndiyo wako watu wenye majibu Facebook wengi vijana .

Siyo vijana mkuu, ila ni watu wazima wanaojifanya watoto (adults pretending to be teenagers)
 
Kabila la mtu linachangia kwenye mawazo yake, be informed.

Leo umenena jambo la ukweli....
Wakwere et al. mawazo yao yapo kimdundundikodundiko, kutoa mwali, kucheza bao na kushinda wakivaa msuli na kanga tu....

The same goes to muheshimiwa...................
 
Kaka naona huijui Makerere hata kidogo, labda unaongelea Makerere ya Historia pole sana kwa taarifa yako watu wanaokwenda kusoma Uganda siku hizi ni form na six failure wa Tanzania nawafahamu zaidi ya mia moja!

Nawajuwa waliopo hiyo Makerere yako ambao hata hawajui kiingereza cha kuombea kazi tena wapo wengi sana hapa Tanzania wanakuja maofini kuomba kazi vichekesho sana.

...mwana! baharia na shule wapi na wapi ndugu yangu???

@ bihawana
 
- Yaaani tumegeuka wale waliodai Barnabas aachiwe, hukumu kwa wananchi wengine bila hata makosa sasa jamani huyu dada amekosa nini hasa cha kumfungulia mthread wote huu kosa lake ni nini hasa? Mana na mimi nataka kushiriki kwenye hukumu lakini nakosa what is the charge?

Es!
 
...mwana! baharia na shule wapi na wapi ndugu yangu???

@ bihawana

- Mkuu Baharia ni jina la kazi, sio elimu maana ndani ya meli kuna watu wana elimu sana meli haiwezi kuelea majini bila elimu, ni common sense japo kidogo sio lazima kuwa na PhD kuelewa hilo!

- Sio kila anayefanya kazi Ikulu ni rais, kuna wafagajiaji pia!, sio kila baharia ni deck boy hapana inawezekana umezoea kukutana na hao mabahari a wa namna hiyo!

nisamehe mkuu... kumbe wewe ndio william@newyork

basi nimekosa, sikuwa na maana nyingine, mie nikajua wewe ni full baharia yaani mchapa kasia

sirudii tena kamanda william aka field marshall

hebu mwambie mod basi adelete hii post maana umechanganya madesa
 
- Yaaani tumegeuka wale waliodai Barnabas aachiwe, hukumu kwa wananchi wengine bila hata makosa sasa jamani huyu dada amekosa nini hasa cha kumfungulia mthread wote huu kosa lake ni nini hasa? Mana na mimi nataka kushiriki kwenye hukumu lakini nakosa what is the charge?

Es!

now this is the point, hi thread haina mashiko, ila wewe ulivyoleta ya makerere ndio uliyoipeleka pabaya kusifia lugha bila kujua kuna KIU pale uganda

i wish ungekaa nae yule dada ujue utumbo wake
 
nisamehe mkuu... kumbe wewe ndio william@newyork

basi nimekosa, sikuwa na maana nyingine, mie nikajua wewe ni full baharia yaani mchapa kasia

sirudii tena kamanda william aka field marshall

hebu mwambie mod basi adelete hii post maana umechanganya madesa

- Mkuu mimi ni William Malecela na picha yangu ile pale juu, ninaishi New york City, huwa situmii majina bandia! ha! ha kwa hiyo hapo umekosa mkuu na namba yangu ya simu hii hapa + 1-914-473-1033 sina uoga uoga kwenye damu yangu never!

Willie @ NYC, USA.
 
Waungwana tujadiliane kwa ustaarabu zaidi kwenye mada hii,kuna mengi ya kujifunza hapa.Matusi na Lugha kali zitawakimbiza watu!
 
Mkuu makerere hawachukui devision za kuunga unga.....huyu yupo chuo kimoja hapo Uganda kinaitwa Kampala...ADA YAKO TU!

- Mnamuonea sana huyu dada vipi mkuu kuna something we dont know nini maana huyu dada hawezi kukosa kurushiwa maneno ya kashfa kila wiki mbili au tatu hivi amewakosea nini hasa? I mean kwani ameingia kwenye mashindano ya taifa ya elimu bila qualifications au?

Willie @ NYC, USA.
 
- Mnamuonea sana huyu dada vipi mkuu kuna something we dont know nini maana huyu dada hawezi kukosa kurushiwa maneno ya kashfa kila wiki mbili au tatu hivi amewakosea nini hasa? I mean kwani ameingia kwenye mashindano ya taifa ya elimu bila qualifications au?Willie @ NYC, USA.
malecela unamtetea sana MZINDAKAYA......wote nyie ni watoto wa wazeee waleee walioitafuna na wanaoendelea kuitafuna tanzania hiii
 
- Mkuu mimi ni William Malecela na picha yangu ile pale juu, ninaishi New york City, huwa situmii majina bandia! ha! ha kwa hiyo hapo umekosa mkuu na namba yangu ya simu hii hapa + 1-914-473-1033 sina uoga uoga kwenye damu yangu never!

Willie @ NYC, USA.

ahaaaaaa... samahani sana, basi nimeona FMES amekujibia halafu mnashabihiana kila kitu, kweli duniani wawili wawili

BTWm i dont need your number or something, if i need it i will ask you but displaying all those irrelevant details reveal lots about flamability of your package and how liquid can turn into vapor especially if it has a low boiling point!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom