Elections 2010 Vioja vyaanza rasmi Bungeni

Namchukia ana makinda toka moyoni. Alikuwa na chuki mbaya dhidi ya hayati chacha wangwe, hivyo simfagilii hata kidogo. Alikuwa anamchukia wangwe kwa kiwango cha kutisha na alikuwa hampi mwanya aongee au aulize ama kufafanua jambo.i still hate this fuckin mom
 
Mmemsoma MAkinda kwenye hotuba yake ya shukrani???
kama unajua kuunganisha dots utapata ujumbe kamili kuhusu msimamo wake dhidi ya wabunge wanaojitia vinara wa kupiga vita ufisadi
 
Nahsi ntakuwa na mis sana lectures kwa ajili ya bunge, kwa maana yanayojiri bungeni hivi leo yananipa mshawasha wakupenda hili bunge
Usikose lecture wewe watakata kichwa. Wakati wa Richmond watu tulikacha lecture zetu tukafikiri ndio mwisho wa ufisadi mwee wapi ndio kwanza EL anarudi kwa kasi ya ajabu kwenye ulingo wa siasa. Lakini endelea kufuatilia mambo kama haya ndio maisha
 
Back
Top Bottom