vioja mahakamani

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
katika pirika pirika ya serekali ya kenya kufanya msako wa mashoga kuwakamata na kuwashitaki shoga mmoja alitiwa mbaroni na buruzwa mahakamani na kusimamishwa kizimbani ikawa hivi

hakimu= unashtakiwa kwa kosa la kufanya ushoga jitetee
shoga= samahani bwana hakimu mimi nilikuwa sijui kama makalio ni mali ya serekali
 
sasa hakimu amsamehe kwa kuwa alikuwa hajui au inakuwaje?
 
katika pirika pirika ya serekali ya kenya kufanya msako wa mashoga kuwakamata na kuwashitaki shoga mmoja alitiwa mbaroni na buruzwa mahakamani na kusimamishwa kizimbani ikawa hivi

hakimu= unashtakiwa kwa kosa la kufanya ushoga jitetee
shoga= samahani bwana hakimu mimi nilikuwa sijui kama makalio ni mali ya serekali
fatma ww ni mwandishi wa habari?or im mistaken
 
Fatma mbona ulipotea hivyo wajameni ? kutokujua sheria sio utetezi,sheria itachukua mkondo wake.
 
jamani serikali inanimiliki hadi mimi? Mbona hainilishi, hainivishi na wala hainisomeshi? Serikali yangu ni baba duni
 
Kwa mujibu wa waalimu wangu wa Primary: ****** ni Nyama halali ya Serikali.. Hata wakati wa mboko, nyama ya Serikali ndiyo ilikuwa inatumika.... Kwa hiyo Serikali ina haki kabisa kumfunga au kumnyonga huyo Bwabwa kwa kuidhalilisha nyama yake...
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana sana...thanks...nyama ya serikali inakula mboko..

Back
Top Bottom