Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

Vipi hawajaanza kuchoma maparokia yetu hao boko haramu....nakesha lango kuu la kanisa la epifania hapa Bugando jijini Mwanza tangu juzi nawasubiria niifie dini yangu
umeniua mbavu zangu, Idimulwa MTAKATIFU NA SHAHIDI MFIA DINI, UTUOMBEE!!!!!!!!! Lolest!
 
Last edited by a moderator:
Jeshi la polisi limelala hadi mwenzao ameuwawa huko Zanzibar,bado mnasema busara...Mnataka afe nani ndio mshituke.?

Jeshi la polisi halijalala na halijawahi kulala,busara ya jeshi la polisi ndiyo inakufikirisha kama limelala.wanafanya kazi kucha na kutwa kukulinda wewe,usipatwe na woga kila kitu kipo sawa.
 
Kinachonisikitisha sasa Waislam wote tunatukanwa kwa makosa ya watu wachache wenye maslah binafsi na sio Uislam. Ndugu zetu eleweni kua yanayofanywa na akina Ponda & Co. ni kinyume cha mafundisho ya Uislam kwani hata Mtume Muhammad (SAW) aliweza kuishi kwa amani na jamii isiyo ya Kiislam. Hakuwahi kuchoma kanisa wala sinagogi.
 
amani kwa kuua wananchi, kwa kuwapiga virungu na mateke, makofi. Sheria gani inasema hivyo? Matokeo yake ni kuuliwa kikatili kwa kujipeleka kwao kichwa kichwa kufanya upuuzi walioagizwa na wakubwa wao.

Jeshi limejipanga kisawasawa,na kokote ambapo amani imetoweka litafika immediately,hakuna sabb ya kulaumu jeshi la polisi kwa sasa kama hutaki kufuata sheria na taratibu,jeshi halilali wa kupumzika so sheria inayounda jeshi la polisi unaifaham kama hujui usitoe shutuma na jeshi la polisi linalazimisha mimi na wewe tufuate sheria pasi na shuruti.so tufuate sheria na taratibu jeshi halitamuonea mtu.
 
Kuchomoka wapi? Mm nkikwambia kuwa kwa nn mtume alioa kitoto kidogo utachomoka?
mkuu wangu Black Bat kwani kuoa wake wa4 ndio kuoa watoto??? nadhani ni typing error tu hiyo, atakuwa alioa mkubwa mwenzie, lolest!!!
 
Last edited by a moderator:
nahis vurugu zitaanzie hapo msikit wa masika manake huwa wanatufungia barabara siku za ijumaa, eti watu wasipite coz wabafanya ibada, si waifungie ndani, au kwa nn waliujenga barabaran walikosa maeneo makubwa ambayo hayana vurugu?

Mfumo Kristo
 
Ndugu zangu wakristo endeleeni kufanya mambo yenu achaneni na hawa vilaza hawana jipya,umaskini na ujinga wao unawatafuna kama kansa,kinachowaumiza ni kuona jamii ya kikristu ikiwa na uwezo mkubwa kielimu na kiuchumi.
 
Hivi hawa ndugu zetu hujishughulisha na nini kwa ajili ya mkate wa kila siku mbona wana muda mwingi sana wa kupoteza?

Hawana kazi zaidi ya kukaa vijiweni na kujazana misikitini.

Unamkuta mtu muda wote yupo msikitini, ndio hawa wenye CHUMA ULETE MANDONDOCHA.

Usiku wanaruka na ungo mchana wanajifanya Swala tano.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hivi ibada inaisha saa ngapi mi nit0ke kariakoo mapema... Maana wanaweza kuja kuchoma vibanda vyetu!
 
Hawana sumu hata kidogo! Hakika nawaambia ya kwmb tuna MUNGU aliyehai sasa na hata Milele!

Shikilia IMANI yako ya Ubatizo ndg yangu Mkristo!

Namkataa shetani,na mambo yake yote....................na kazi yake yote............najitoa kuwa wako.........!! Nikutumikie mpaka.......!

Shetani ni matendo wala si dini ndugu yangu, unaweza ukawa Mkristo lakini ukawa Shetani na unaweza kuwa Muslim ukawa Shetani vile vile.

Tuombe na kufunga sana hali hii ipite salama.

Mimi naanza hapa hapa jukwaani.

Eeeeeeh Mungu wa Israel, Mungu wa Yacob, Mungu wa Isaka na Mungu wa Mussa na Haruna.

Tuepushie na shari hii ambayo bila ya shaka inapika matope dini yako adhimu.

Ameeen.
 
Nawasihi polisi wote ambao ni Wakristo wawape kichapo cha nguvu hao Waislam vilaza ikibidi wawaangamize kabisa.
 
Hawana kazi zaidi ya kukaa vijiweni na kujazana misikitini.

Unamkuta mtu muda wote yupo msikitini, ndio hawa wenye CHUMA ULETE MANDONDOCHA.

Usiku wanaruka na ungo mchana wanajifanya Swala tano.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mizambwa aka nabii mtarajiwa umeingia chaka ndugu yangu. Uchawi hauna dini wala kabila, hivyo kulaumu dini fulani kuwa ndiyo wanga, chuma ulete ni uchanga na uoni mdogo katika dini.

Futa kauli yako na tubia kwa Mola wako maana maovu yapo mengi sana hata pombe, zinaa n.k
 
Kinachonisikitisha sasa Waislam wote tunatukanwa kwa makosa ya watu wachache wenye maslah binafsi na sio Uislam. Ndugu zetu eleweni kua yanayofanywa na akina Ponda & Co. ni kinyume cha mafundisho ya Uislam kwani hata Mtume Muhammad (SAW) aliweza kuishi kwa amani na jamii isiyo ya Kiislam. Hakuwahi kuchoma kanisa wala sinagogi.

Nyie mna makusudi sana na maneno yako haya ni kama unatuzuga.. Kama kweli mngekuwa mnamaanisha msingekuwa na magazeti ya annur na redio iman
 
Hapa mwembechai kila mala defender inapita!... Nshaanza kupata mwabulambo!..
 
tujuzeni maana huku ofisini sina amani hata kidgo

Tanzania yangu utapata maendeleo vipi kama Wanaokufanyia kazi hawana amani ofisini? JK wanakuharibia hawa kabiliana nao utawaomba radhi baada ya amani kupatikana.
 
mkuu wangu Black Bat kwani kuoa wake wa4 ndio kuoa watoto??? nadhani ni typing error tu hiyo, atakuwa alioa mkubwa mwenzie, lolest!!!

Wewe ndio huujui msahafu. Soma hapa
Aisha was six or seven years old when betrothed to Muhammad.[11][15][16] Traditional sources state that she stayed in her
parents' home until the age of nine when the
marriage was consummated with Muhammad
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa ndugu zetu hujishughulisha na nini kwa ajili ya mkate wa kila siku mbona wana muda mwingi sana wa kupoteza?


Kumbuka alivyokufa Kanumba, siku zote wameshinda msibani hawakuwa na hawana kazi ya kufanya, kazi kukaa vijiweni kupora visimu, vipochi na kusubiri pilau za kuzamia
 
Back
Top Bottom