Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

Mkuu umesaha kwamba huyu ni miongoni wa wale walao mkate na damu ya yesu.Sasa yesu kafa karne ya kale sana,hiyo damu yake eti mpaka leo bado ipo tuu lol.

mkuu umeniacha hoi na point yako, kumbe mvinyo ni damu ya yesu? Wakati huohuo huyo yesu ni mungu, sasa wanamlaje mungu?
 
Polisi lipeni kisasi leo kwa atakaye wachezea ama sivyo mtauawa nyie. Onyesheni kwamba mnaweza............................
 
amani kwa kuua wananchi, kwa kuwapiga virungu na mateke, makofi. Sheria gani inasema hivyo? Matokeo yake ni kuuliwa kikatili kwa kujipeleka kwao kichwa kichwa kufanya upuuzi walioagizwa na wakubwa wao.
je,wafahamu shaeria inayounda jeshi la polisi? Je,unaelewa wajibu wako na wangu kwa jeshi la polisi? Ukipigwa mateke,virungu na makofi na ukaona umeonewa wakati uko kwenye site yao itakuwa busara kwenda mahakamani.Kuna kitu kinaitwa utii wa sheria pasi ya shuruti, je ungependa vyombo vya dola vikulazimishe esp polisi wakulazimishe ufuate sheria?they will do for you.
Kama unafuata sheria na taratibu za nchi hakuna wa kukudhuru na jeshi la polisi litafanya kazi hiyo ya kukulinda wewe pamoja na mali zako.Ilipofikia busara kwa jeshi la polisi imekoma so hatua ya pili ya kusimamia sheria ndiyo inayofuata.Ondoa woga mkuu!
 
Hapa Morogoro vurugu zimeshaanza na askari wanaelekea kwene msikiti maarufu uitwao Mungu mmoja uliopo jirani na Kiwanda cha Tumbaku- Moro
 
Jamani tuache uchochezi usio na msingi nimepokea simu ya jamaa yangu yupo mjini anasema hali ni shwari tuacheni uoga!!!!!!!!!![/MENTION]
 
Miafrika na mitanzania ndo tulivyo ovyo mara 1000.
Kapigwa ulimboka pia kauwawa mwangosi duh mamidomo makubwa kuwaponda polisi hawana akili wakitumwa km mbwa wanang'ata, leo mamidomo yale yale ati polisi wafanye kweli, duh nyie ni km bendera fuata upepo mara kulia mara kushoto, ka vag.....na. Wekeni makalio yenu chini..
 
Miafrika na mitanzania ndo tulivyo ovyo mara 1000.
Kapigwa ulimboka pia kauwawa mwangosi duh mamidomo makubwa kuwaponda polisi hawana akili wakitumwa km mbwa wanang'ata, leo mamidomo yale yale ati polisi wafanye kweli, duh nyie ni km bendera fuata upepo mara kulia mara kushoto, ka vag.....na. Wekeni makalio yenu chini..

mkuu hapo ndo ujue double stnd zinafanya kazi.
Kwao waislam sio watu, wauliwe tu wala hamna shida.
Ingekuwa maandamano ya cdm wangelaani na kutoa shutma za kila namna.
 
Mbona wanakua kama watu ambao hawajaenda shule? kila kukicha lipya au kwa vile nchi hii wanaongoza wao?
 
Ina maana ibada imeanza
ah, nadhani hayo ni maandalizi tu, ibada kamili yaja!!!! ushasikia ving'ora weye on sunday's??? labda magari ya wagonjwa au misafara ya wakubwa!! ila hawa wenzetu, mmmhhhhh! hebu niende mie!
 
wewe ndo wa hovyo,,,,sijui ubaba alokupa nani huenda mtoto umebambikiwa tu mdau,,,,maisha yenyewe yanakupa tension,,,,yaani umeona waislam tu ndo wanaoleta tension nchi hii shwain weeeee


Sasa ili la Waislamu Kuleta Tension Mbona Lipowazi sana,si ndiyo kinachoendelea au? Unapochoma Nyumba ya Ibada ya Mtu Mwingine Unasababisha nn? You are too much of a Muslim to understand simple Logic!!
 
Hapa Morogoro vurugu zimeshaanza na askari wanaelekea kwene msikiti maarufu uitwao Mungu mmoja uliopo jirani na Kiwanda cha Tumbaku- Moro
nahis vurugu zitaanzie hapo msikit wa masika manake huwa wanatufungia barabara siku za ijumaa, eti watu wasipite coz wabafanya ibada, si waifungie ndani, au kwa nn waliujenga barabaran walikosa maeneo makubwa ambayo hayana vurugu?
 
Jambo ambalo ni wazi kabisa, Jeshi la Polisi haliko huru (independent) katika utekelezaji wa majukumu yako. Hawachukui hatua (hata kwa mambo ambayo yanaiweka nchi rehani) hadi wapewe maagizo. Na ndio sababu wananchi wanalalamika maana 'maagizo' yako very subjective.

Bila kulisuka upya hili Jeshi la polisi tuhesabu hatuna kitu.
 
Back
Top Bottom