Vingine raha vingine karaha.

Hahahahaha! Angalia na wewe usijekuwa na tabia hii.....

attachment.php
aahhh hiyo laana warembo wote hawa.....
 
Last edited by a moderator:
Ahaa wapi!!
Uweke na mabaunsa kbs,hakuna kukimbia mtu hapo.
Na ulivyo ndembendembe ntakucharaza doggy style..... si umemsoma mwenzio kafungua sredi kule anasema kikojoleo chake kinaachia ushuzi?

attachment.php
 
Ruksaaaa, endelea kwa raha zako......muonyeshe we si teketeke ungewezaje kumudu wake wanne hasa Kongosho hataki shombo yule. Naamini wake wenzangu BADILI TABIA na cacico hawana pingamizi maadam mie nimekubali wao shega tu.

Yummy yani mnaruhusu 'sukari guru' ya mme wenu ilambwe?
Haya ila tuko kundi zima kama ana pumzi na ajongee BBA.
 
Last edited by a moderator:
Na ulivyo ndembendembe ntakucharaza doggy style..... si umemsoma mwenzio kafungua sredi kule anasema kikojoleo chake kinaachia ushuzi?

attachment.php

teh teh teh teh,
kwa hyo style zote umeiona hiyo cha Dog?
Hebu muulize Yummy wako anazijua ngapi?
Mh! Ya kishuzi imeniacha hoi.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh teh,
kwa hyo style zote umeiona hiyo cha Dog?
Hebu muulize Yummy wako anazijua ngapi?
Mh! Ya kishuzi imeniacha hoi.
Hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama Yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama Yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?

attachment.php

Asprin bhana n'take radhi,
kumbe kuna kulia?
Cjui ati me mgeni.
cacico sijamtia machoni tangu amalize Idd,cjui ndo ashaibwa na wajanja wenye mikwanja mirefu.
Baki hapohapo na hyo Dog style yako ndo mana wakezo huwapi :mimba:
Yummy kataa Dog style,tunataka :baby: huku.
 
Last edited by a moderator:
hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?

attachment.php
huyo msichana wallah mashaallah! Khaaaaaaaaaaa! Hubby hii picha yangu umeitoa wapi jamani, na mi nilishaipeleka makumbusho wakaihifadhi??
 
Back
Top Bottom