Vingine raha vingine karaha.

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Unafyonza nini kati ya hivi? Pipi ya kijiti, chakula ya mtoto, chumvini, mavini, pua, macho, masikio, ulimi, lips, tovu, kwapa. Beware of ban.
 
Mtoa mada nashkuru kunikumbusha ya kwamba mwezi wa malazani passing away already!
 
Na michumvi pia!
 
Unafyonza nini kati ya hivi? Pipi ya kijiti, chakula ya mtoto, chumvini, mavini, pua, macho, masikio, ulimi, lips, tovu, kwapa. Beware of ban.

Mambo yote kinyesi. Toilet papers aghali bana. Madame B popote ulipo, waweza nambia we unalalaga sangapi?
 
Last edited by a moderator:

Babu mbona wan'twika swali gumu hvo?
Mda huu ndo nalala baada ya pilikapilika za kufurahia kumaliza Swaumu.
Ila mimi sina muda maalum wa kulala.
Popote Kambi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom