Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

hivi wakuu inzaghi alikuwa na mdogo wake .. bado anasakata kabumbu ? am talking about simione inzaghi kama sikosei.. ama hawakuwa ndugu hawa?
kashaacha soka tayari nakumbuka enzi zile yupo Lazio aliwafunga goli timu 1 ya England nadhani walikuwa chelsea 1999-2000 ktk champions ligi ktk hatua ya makundi stamford bridge.Ni mdogowe Super Pippo
 
jamaa Real madrid ilimpenda kipindi kile.. nakumbuka oldtraford chapions ligue kipindi kile Madrid Vs Man U.. redondo alivochakachua beki za Man UTD kutoka kwenye winga na kumuachia pass nzuri El Angel del Madrid kpindi hicho rahul.

yuwapi Redondo..?????

NIMEFANIKIWA KUPA VID. YA LILE BAO REDONDO ALIKUWA NA UWEZO KISOKA..

Last edited by a moderator:
huyu bwana alikuwa na kichaa cha chenga! za maudhi.. alisababisha Hasan sas kipindi cha kombe la dunia korea /japan alipewa red card kwa ajili yake.. denilson anaenda hadi golini hafungi hatoi pasi.. anarudi kwenye winga .. brasil ya kipindi kile ilikuwa nzuri saana!! sababu mbele kulikuwa na combination ya ronaldo & rivaldo.. nimemsahau beki wao ... jina lilikuwa linaanza na L

Unamuongelea Leonardo nini - Alikuwa beki au kiungo huyu? Gang atakuwa anajua habari zake mkongwe huyu - aliishia kuwa kocha kiraka wa Milan!
 
Paul Gasgoine 'Gazza' - Mabangi nibangue yalifanya kipaji chake kipotee kabla ya wakati!
Diego Armando Maradona - Madawa ya kulevya yalifanya tukose uhondo wake WC 1994!
 
huyu bwana alikuwa na kichaa cha chenga! za maudhi.. alisababisha Hasan sas kipindi cha kombe la dunia korea /japan alipewa red card kwa ajili yake.. denilson anaenda hadi golini hafungi hatoi pasi.. anarudi kwenye winga .. brasil ya kipindi kile ilikuwa nzuri saana!! sababu mbele kulikuwa na combination ya ronaldo & rivaldo.. nimemsahau beki wao ... jina lilikuwa linaanza na L

1998...
Tafarer, cafu, carlos, baiano aldair...

2002...
Marcos, cafu, carlos, roque Jr, edmilson, lucio...

kati ya hao yupo huyo uliyemsahau?
 
msimu ulopita Dinho kaongoza kwa Assist sere A nzima.
ni majerui tu ya kina Nesta, Pirlo na Pato.
Lakini kama timu ingekuwa sawa basi Milan wangetwaa ndoo.
So kumuweka Dinho humu ni dhambi

Nasisitiza: Huyo ni kivuli cha Dinho tunayemjua!
Narudia: Kwa umri wake Dinho hastahili kuisha!
Nakumbusha: Bado Dinho anapaswa kukimbiza!
 
Cyrille Makanaky wa Cameroon. Kombe la dunia Italy mwaka 1990. Goli lililofungwa, ilianzia kila kitu kwake kwa sababu alikuwa ananyanyasa kwa Chenga hadi Argentina ambao walikuwa mabingwa wa dunia na walienda hadi kucheza World Cup final, walikuwa hawana jinsi ila kumfanyia faulo. Ukapigwa mpira na yeye akaunyenyua juu sana na hapo Omam Biyik ndiyo akaja akauwa:

Aliyembeba Cannigia na kupewa RED anaitwa Benjamin Massing

Hapa chini ndiyo kijana mwenyewe kwa miaka ile aitwaye Makanaky. Pepe Kalle hadi akaimba wimbo.
article-1242632-07D48933000005DC-263_468x377.jpg
 
Last edited by a moderator:
SARAN_BIYIKS_1.jpg

Ndugu wawili waliotesa kwenye Makombe ya Dunia. Miaka hiyo Cameroon ni tishio si kawaida:

FRANCOIS OMAM BIYIK
, EMMANUEL MABOANG, ANDRE KANA BIYIK ( Kutoka kushoto)
 
1998...
Tafarer, cafu, carlos, baiano aldair...

2002...
Marcos, cafu, carlos, roque Jr, edmilson, lucio...

kati ya hao yupo huyo uliyemsahau?

ni LUCIO ndiye nilimsahau. last time i checked he ws on bundesliga.. sijui kwa sasa yupo wapi
 
Fred Mwamfupe

huyu kijana hunifanya nikumbuke UMISETA kanda ya nyanda za juu Mbeya alikuwa
akiichezea shule ya Sekondary Meta iliyopo mjini mby miaka ya 2000,
akaacha mpira hivi sasa hajulikani yuko wapi
 
Du!! Kumbe hata underground ni ruksa kuwa'mention!
 
ni LUCIO ndiye nilimsahau. last time i checked he ws on bundesliga.. sijui kwa sasa yupo wapi

Yuko Inter Milan na msimu uliopita walibeba champions league.
Na wiki ilopita wamekalia kibao cha mbuzi na kupigwa goli moja na AC Milan
 
Back
Top Bottom